Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaani Utumishi kumbe waliusoma mchezo walipoona taasisi zinaelekea kuwakimbia wakaanza kujikosha kwa kutoa placements za bandika bandua na kupiga kampeni kwenye vyombo vya habari ili wateja wao wabaki, na wawafanye waomba ajira wawaone wao ni wema sana kwamba hakukuwa na haja ya taasisi kurudishiwa mamlaka ya kuajiri.

Haya sasa! Walipogundua haijasaidia, wamerudi kwenye uhalisia wao wakuchelewesha placements.

#Utumishi waomba ajira wanataka muendelee ule moto mliouwasha wa kufanya ziara kwenye vyombo vya habari na kutoa placements haraka haraka. Hiki chakurudi mlivyokuwa mnalalamikiwa mnazipa sababu taasisi kuwa na nguvu ya kuajiri zenyewe, matokeo yake ni kupendeleanakutarudi kwa kasi.
 
Mtu anakuwa Top ten written, kwenye Practical anakuwa wa 150. Hili linawezekana kweli? TRA sio wakuwaamini hapa kuna mchezo unaendelea

Hahahahaha! Tutor mimi ni mkosoaji mkubwa wa Taasisi hasa ambazo ni nyeti kurudishiwa mamlaka ya kuajiri zenyewe lakini kwenye hili la mtu kutoka Top 10 ya written mpaka 150 kwa practical, nalikubali linawezekana tena bila ya kuonewa au kufanyiwa mchezo wowote unless huyo mtu awe na maelezo ya ziada.

Hata kwenye practical wangeurudia mtihani ule ule walioufanya kwenye Oral inawezekana mtu akatolewa na ushindani kutoka top 10 mpaka nje ya 200.

Mtihani una mambo mengi mkuu, mtu anaweza kuamka akili inakataa kufanya chochote, na bado kuna suala la ushindani, walioharibu kwenye written sio kwamba ni vilaza inawezekana wakawa ni wazuri zaidi kwenye practical wakapanda kutoka nje ya 200 mpaka top 3.
 
Yah kweli kabisa

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Mtu anakuwa Top ten written, kwenye Practical anakuwa wa 150. Hili linawezekana kweli? TRA sio wakuwaamini hapa kuna mchezo unaendelea
Hamna mchezo wowote hapo ndio mtihani huo. Mbona mdau alikua wa pili kweny Written Utumishi kati ya watu 9 ila kweny Oral hajafaulu mpaka leo wenzake wote 8 washaitwa kazini.
 
Hahahahaha! Tutor mimi ni mkosoaji mkubwa wa Taasisi hasa ambazo ni nyeti kurudishiwa mamlaka ya kuajiri zenyewe lakini kwenye hili la mtu kutoka Top 10 ya written mpaka 150 kwa practical, nalikubali linawezekana tena bila ya kuonewa au kufanyiwa mchezo wowote unless huyo mtu awe na maelezo ya ziada.

Hata kwenye practical wangeurudia mtihani ule ule walioufanya kwenye Oral inawezekana mtu akatolewa na ushindani kutoka top 10 mpaka nje ya 200.

Mtihani una mambo mengi mkuu, mtu anaweza kuamka akili inakataa kufanya chochote, na bado kuna suala la ushindani, walioharibu kwenye written sio kwamba ni vilaza inawezekana wakawa ni wazuri zaidi kwenye practical wakapanda kutoka nje ya 200 mpaka top 3.
Duh! Kwa kweli hii issue inatafakarisha sana na kama una imani haba unaweza kutafuta mchawi
 
Nina safari ndefu sana japo asali ya wizaran ni TGS Ila posho,safari na extra duty kibao

Kama kuna hvyo vyote hapo juu, kinachotaka kukukimbiza ni kipi?

Kua makini mkuu, kuna mdau hapo kakuasa usije ruka mkojo ukafakamia kinyesi.
 
Duh! Kwa kweli hii issue inatafakarisha sana na kama una imani haba unaweza kutafuta mchawi

Ni kweli kabisa Prof. Hasa kama mtu anauhakika practical ameifanya vizuri, ikaja matokeo kinyume sana.
 
Sasa mnakimbia halmashauri nani anafanya kazi huko aisee ninyi watu ?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mnazingua sana aisee ,
Kumbe ndio maana kuna taasisi haziajiri kabisa graduates aisee ,kumbe majitu yanakaba nafasi huko kwa kuzikimbia halmashauri
Kuna taasisi watu wanafanya usahili kama Geresha halafu hata majina yenyewe hayatoki ,ujinga sana huu
Kugumu sana huku...ila bora nusu kuliko kukosa kabisa
 
Habari.

Kwa hali inayoendelea kwa upande wa psrs.
Ucheleweshaji wa kuita watu kazini.
Ucheleweshaji wa kuita watu usaili.

Kiukweli mimi nitakuwa mtu wa kwanza kuzitaka taasisi ziajiri zenyewe.

Kama watasolve hizo changamoto mimi nitakuwa upande wao.

Haiwezekani wao wana ajiri taasisi zote za umma na mshirika ya serikali na halmashauri ila mchakato yao muda mfupi sana ni miezi miwili au mitatu kuita watu kazini.

Kuna nini nyuma ya pazia.
 
kwa kweli nakuunga mkono ndugu yangu.
 
Wakati mnalilia kupangiwa kazi, basi mkumbuke kuwa katika kupangiwa huko kazi mnaweza kupelekwa Vijiji ambavyo kutoka Halmashauri husika ni zaidi ya 60KM

Kwahiyo sio mnafika huku mnaanza kuhaha kuanza kujutia na kulazimisha kuhama, vile unaitaka placement kwa hamu na shahuku basi ni hivo hivo uwe na shahuku ya kutaka kuhudumia Wananchi

Sio mnawaza kuondoa changamoto zenu tu za vipato bali mkumbuke mnatakiwa kwenda kutatua changamoto za Wanachi pia ndomana ukaenda shule hivo muwe na Passion na Taaluma zenu

Nimetoka kutembelea kituo changu cha kazi muda huu, na hizi mvua unaweza kutema bungu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom