Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Changamoto ni moja PSPR washatoa bonge la sheet linalosema mifumo na uwakibikaji wao sema ni vile hatupendagi kusoma ila kila kitu kiko available kwenye mitandao Yao sasa basi.... PSPR awawezi kupeleka mtu placement bila ya taasisi husika kumuhitaji mtu uyo kwa sasa ila inshort mchakato wa usaili hauna muda maalumu its depending na wahusika katika taasisi wanamuhitaji mwajiliwa immediately au 5month leter after kutoa kibali..[emoji1488][emoji599]akhsanteni....ila kuanzia juma4 wale tunaosubiria saili na placement zinaanza kumiminika lengo ni January watu wawe wanaramba asali
 
Mkuu ni za ndani hizoo?

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana hawa PSRS wanafanyiwa figisu figisu nyingi Sana na baadhi ya taasisi, wao washaliona Ilo sasa wanakwama wapi kulishughulikia ikiwa wapo kisheria?
 
Inaonekana hawa PSRS wanafanyiwa figisu figisu nyingi Sana na baadhi ya taasisi, wao washaliona Ilo sasa wanakwama wapi kulishughulikia ikiwa wapo kisheria?
Si ndio hapo ,? ,Mi nashangaa ni chombo gani hiki kisicho na meno ya kuwawajibisha waajiri wazembe
 
Inaonekana hawa PSRS wanafanyiwa figisu figisu nyingi Sana na baadhi ya taasisi, wao washaliona Ilo sasa wanakwama wapi kulishughulikia ikiwa wapo kisheria?
Haimake sense eti psrs ni chombo kilichoundwa kisheria na wako chini ya ofisi ya rais ila hawana power wala uwezo wa kudeal na tatizo la ucheleweshwaji wa Placement
Ni mambo ya ovyo sana
 
Inaonekana hawa PSRS wanafanyiwa figisu figisu nyingi Sana na baadhi ya taasisi, wao washaliona Ilo sasa wanakwama wapi kulishughulikia ikiwa wapo kisheria?

PSPR nae Hana uwezo wa kuwawajibisha taasisi that’s why unaona sometimes kunaajira zinatangazwa alafu after 5’month watu wakisubiri call for intavoo unashangaa ajira imesitishwa ...all in all serikali ndo inafelisha maswala yote haya kwa maana kama taasisi inaitaji waajiri huwa inapeleka propozo government then gava inakaa nakupanga budget na mazaga yote included kwa mtumishi then inafyatua kibali kwa PSPR kuanza mbanga zote za kuwapata qualified persons sasa hapo hapo wanatokea wavurugaji ndani ya taasisi unakuta ile nafasi iliyokua inaitaji raia basi anatolewa mtu kitengo Fulani ndani umoumo ya taasisi anaenda kuziba lile pengo that’s why unashangaa ajira is postponed [emoji599] au serikali sometimes inakua inasikilizia kupunguza matumizi ya mishahara mipya that’s why unakuta intavoo already but placement DOHOOO[emoji1430][emoji2960] hapo sasa NDA JOBLESS uku kitaa tunapoanza PANG’ANG’A[emoji23][emoji23] all in all mi ningeomba PSPR mtu akimaliza usaili wa oral wachukue e-mail yake waikonect free kuwa inaingia Ajira.go.tz mpka pale placement itakapotoka maana sometime tunalazimika kuweka Bando ili kusubiria HAFIZ KONKONI APIGE HATRICK kwenye DARBY ya PLACEMENT [emoji23][emoji23][emoji23]yangu ni HAYO wenu mpendwa
INNOJEMBE secretary kivuli wa PSPR
 

Asante Professor. Hakika umeyatendea haki malalamiko ya uzi huu.

Hivi kwa mfano PSRS wakawa wanatoa placements kisha wakaacha muajiriwa na taasisi yake waelewane siku ya kuripoti kazini, nini kitaharibika?

Kwa mtazamo wangu, hoja kubwa ya watu sio ni lini wataripoti kazini, bali ni je wamepata kazi au hawajapata! Ni bora mtu ajue ameshapata kazi, kisha taasisi aliyopata imtaarifu asubiri hata mwaka mzima, kuliko PSRS kukaa na majibu mwaka mzima halafu wanakuja kumwambia amekosa.

Kama hutojali, kwa niaba ya wengine naomba utusaidie kuweka hapa hilo “bonge moja la sheet” ili tuongeze maarifa zaidi na kupunguza kuuliza ambacho kimeshajibiwa.

Asante pia kwa lonja ya placements zinazokuja.
 
Unaongea kama nani?
 
Kama wanaona changamoto hizo Lengo la kuweka database mwaka mmoja linamaana gan kama sio Usanii nn waache kucheza na akiri za wasaka ajira ...
Wajitafakari "PSRS ndo roho za wasaka ajira....
Wanapojitetea mitandao/vyombo vya Habari wawe wanaonyesha uwajibikaji sasa hivi tumerudi kulekule tulipotoka alafu wanachezea kodi zetu kwenye matangazo yao kwenye vyombo vya Habari ukija kwenye Utendaji ni mwendo wa kinyonga...
Waachie PDF nzito la Database tupunguze stress za Maisha
 
kwakweli sisi tuliofanya oral juzi hapa naona tuanze kudai placement mwakani mwez wa 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…