Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sekretarieti ya Ajira wanangu nyie ni jipu sana, mnafanya kazi kimazoea kwa hali hii acha taasisi zinazojitambua kama TRA, NSSF wajitoe waanze kuajiri wenyewe.

Like seriously, hii kazi imewashinda serikali ni
Kubwa sana, kubalini tu hii kazi ipo nje ya uwezo wenu.
 
Mshamba we we unaoteotea halfu unajifanya kachero wa psrs

[emoji23][emoji23][emoji23]we talk as a kidding akuna mtumishi wa PSRS atakuja hapa kutoa ufafanuzi juu ya sekretariet hyo...mimi nimefikisha ninachokijua in jokes form, sasa MAKASIRIKO yanatokea wapi BAMDO? Wote ni job finder umu ndani we share our experience as well as our exposure.

Wako katika kukukeraaaa
Innojembe
KATIBU KIVULI PSRS
 
Kimya cha PSRS kinamaanisha nini? Kitaa pagumu sana wekeni ata adverts tuzidi kuongeza received. Dah Mishe zinagomaa kila ukiona afadhali ichi inabaki Bora kilichopita, siku Nayo inakuwa ndefu, mchana unatamani iwe usiku, usiku Napo unatamani kukuchee asubuhi.
 
Kesho kunajambo watalishusha nliwambia[emoji2958]keep waiting
 
Katika watu wanaoishi kwa hisia Kali yenye matumaini na Imani kubwa ni jobless asee nahakika hapa ata Mwenyezi Mungu hutenda miujiza, Imani tuliyonayo jobless asikuambie Mtu haina kipimo
Naelewa wanna...mnavojisikia kitaa kugumu mno.. hapafai hata kidogo ...ni vumbi mno... sema Mungu ni mwema atakuja kwa namna yake na kwa wakati wake...mtapata

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom