Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu mbona Mnanipita Tuuu, ina maana hauna Laptop au desktop Mbovu, ambayo unahitaji ipone..??

Okay sawa tuseme huna, Ofisini kwenu hakuna Desktop mbovu? Hakuna laptop ni nzito mpka mnaikimbia?? Okay Networking basi Mnapata ?? Cable hazisumbuiii??? Okay basi sawa kila kitu kipo sawa...

Hauna hata stationery unataka kuweka network? Yani mteja akikaa kwenye PC yoyote aweze Ku print?? Okay hutaki kubadirisha Windows??

Basi sawa, Mfano tuseme labda una shule una mwalimu wa computer??

Mbona hivyo wakuu mnataka nilale njaa .... Wewe nipe kazi yoyote ya computer nakuja kufanya ulipo na malipo ni baada ya kazi.
Ungekuwepo Dom ningekupa kazi ya kutibu Laptop. Nina laptop hapa naona ikiingia gereji lazima itoke na kitu
 
Hivi inakuwaje mfano mnafanya oral Leo labda ya ICT officer Tanroad, nafasi 10. Halafu baada ya siku 3 watu 10 wanaitwa kazini Kwa nafasi hiyo hiyo na Tangazo linaonyesha labda walioitwa ni waliofanya usaili kati ya january- march 2023.

Je ni kwamba hizo nafasi mlizofanyia saili tayari Kuna watu labda walikuwa data base?
Kama jibu ni ndiyo kulikuwa na haja Gani Tena ya kuita watu kufanyia usaili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom