Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
nadhani upo kada ya ITChanzo ni nini?? Chanzo Ajira chache.
jangwa la sahara aisee yaani pakavu balaa 😂ukiingia web sasa hivi muonekano wake ni kama jangwa...🤣🤣
ukiingia web sasa hivi muonekano wake ni kama jangwa...[emoji1787][emoji1787]
JAMAA INAONEKANA SIO SHIDA ZAO!!ukiingia web sasa hivi muonekano wake ni kama jangwa...🤣🤣
Mshamba we we unaoteotea halfu unajifanya kachero wa psrsHope i week patakua patamu kabla wa watumishi kwenda kula likizo
Mshamba we we unaoteotea halfu unajifanya kachero wa psrs
Mkuu usituchore basi, tupo serious humu.KUNA PDF HUKO, MUENDE...
Mkuu usituchore basi, tupo serious humu.
Aliyeshiba hamjui mwny njaa!! sawa lakini yote kheri.Jamaaa ajui kama vifua vyetu vimebeba hasira afu analeta utani
Aliyeshiba hamjui mwny njaa!! sawa lakini yote kheri.
analeta miyeyusho kumbeJamaaa ajui kama vifua vyetu vimebeba hasira afu analeta utani
analeta miyeyusho kumbe
Hili swali umeuliza kimasihara ila likipatikana jibu sahihi bila shaka lawama kwa Psrs zitapungua ......Mara ya mwisho kuona Post Ya TCRA mfano ni Mwaka 2000 na Ngapi?? Huo mfano kuna nyingi NSSF ,PSSF etc...Babu kwenye spiritual hapo niache 🤣🤣(jokes)
Ko unaona izo Taasisi zipo perfect au ndo maozo Tu kwa job seekers.Sekretarieti ya Ajira wanangu nyie ni jipu sana, mnafanya kazi kimazoea kwa hali hii acha taasisi zinazojitambua kama TRA, NSSF wajitoe waanze kuajiri wenyewe.
Like seriously, hii kazi imewashinda serikali ni
Kubwa sana, kubalini tu hii kazi ipo nje ya uwezo wenu.
Kimya cha PSRS kinamaanisha nini? Kitaa pagumu sana wekeni ata adverts tuzidi kuongeza received. Dah Mishe zinagomaa kila ukiona afadhali ichi inabaki Bora kilichopita, siku Nayo inakuwa ndefu, mchana unatamani iwe usiku, usiku Napo unatamani kukuchee asubuhi.
Mkuu na ikawe ivyo bado Ninaimani na PSRS. silaha kubwa ya jobless hasaa wenye matumaini na utumishi nI uvumilivu Tu.Kesho kunajambo watalishusha nliwambia[emoji2958]keep waiting
Naelewa wanna...mnavojisikia kitaa kugumu mno.. hapafai hata kidogo ...ni vumbi mno... sema Mungu ni mwema atakuja kwa namna yake na kwa wakati wake...mtapataKatika watu wanaoishi kwa hisia Kali yenye matumaini na Imani kubwa ni jobless asee nahakika hapa ata Mwenyezi Mungu hutenda miujiza, Imani tuliyonayo jobless asikuambie Mtu haina kipimo