mkuu wew ulishapata??Naelewa wanna...mnavojisikia kitaa kugumu mno.. hapafai hata kidogo ...ni vumbi mno... sema Mungu ni mwema atakuja kwa namna yake na kwa wakati wake...mtapata
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Na huwezi kuwapiga sound tena ndugu au wazazi kwamba usahili mwingine wakati uliopita kila unawaambia unasikilizia PlacementsKuna muda mpka wana uliowaambia nmetoka interview wanaanza kukuskilizia mwanetu vipi au alitupangaga nini mbona kimya ivo au Alifeli nn[emoji1438][emoji2960]kumbe wap
Na huwezi kuwapiga sound tena ndugu au wazazi kwamba usahili mwingine wakati uliopita kila unawaambia unasikilizia Placements
Psrs hawajui machungu na ugumu wanaosababisha kwa wasaka ajiraUnaweza fanya interview hata 3 na zote ukasubiria placement sasa changamoto uwe na wzz km wangu ndo kvumbiii
Psrs hawajui machungu na ugumu wanaosababisha kwa wasaka ajira
Mwisho wa siku inabaki kuwa siri ya kambiKuna muda mpka wana uliowaambia nmetoka interview wanaanza kukuskilizia mwanetu vipi au alitupangaga nini mbona kimya ivo au Alifeli nn[emoji1438][emoji2960]kumbe wap
kuna waliofanya tareh 4 mwez wa 10
stress zao zimedumu kwa mda mfupi mnoNiliwaambia kuna PDF inashushwa leo nadhani tunaenda tunaelewana...ila sio Siri awa waliofanya interview mwezi wa 10 wame enjoy kwakwel[emoji990][emoji937]
stress zao zimedumu kwa mda mfupi mno
ilikuwa za mda and lga au taasisi zipiNilifanya tarehe 04.10.2023 nimewahi kuangalia Ila kada yangu sijaiona. Ngoja niendelee kusubiri
MDA'S na LGA'Silikuwa za mda and lga au taasisi zipi
basi ujue mshafikiwa uwe tayari muda wowote kada yenu itakuwa kwenye placementMDA'S na LGA'S
Ungekuwepo Dom ningekupa kazi ya kutibu Laptop. Nina laptop hapa naona ikiingia gereji lazima itoke na kituWakuu mbona Mnanipita Tuuu, ina maana hauna Laptop au desktop Mbovu, ambayo unahitaji ipone..??
Okay sawa tuseme huna, Ofisini kwenu hakuna Desktop mbovu? Hakuna laptop ni nzito mpka mnaikimbia?? Okay Networking basi Mnapata ?? Cable hazisumbuiii??? Okay basi sawa kila kitu kipo sawa...
Hauna hata stationery unataka kuweka network? Yani mteja akikaa kwenye PC yoyote aweze Ku print?? Okay hutaki kubadirisha Windows??
Basi sawa, Mfano tuseme labda una shule una mwalimu wa computer??
Mbona hivyo wakuu mnataka nilale njaa .... Wewe nipe kazi yoyote ya computer nakuja kufanya ulipo na malipo ni baada ya kazi.
Amina ikawe hivyobasi ujue mshafikiwa uwe tayari muda wowote kada yenu itakuwa kwenye placement