Hahaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] , pole mkuuIkifika December 1 hakuna news naacha kuweka MB labda waje wanipigie simu wenyewe kuniita kwenye interview [emoji28] aiwezekani miezi 6 yote Niko online kwa bajet kaliii sana ya MBs Yaani mimi ni wakuishi na Mb 200 siku 3 ili kusubria “call for interview “[emoji23] aseeee nimechokaaaa bora hata mnaosubiri placement dadeq
Hahahaaa vip muitikio wao mkuu???m
we hujui tu tunayopitia kiongozi, mimi nina namba zao kila mwezi lazima niwatumie whatsapp CV yangu yaani hii potelea mbali
😂 😂 umefanya nisiende kui download hiyo pdfVijana wa Degree hawana nafasi kabisa siku hizi kwny pdf, naona madereva tu na wauguziiii!!
hongera sana ukawe mtumishi mwema aisee.Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira
Hongera sanaDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
safi sana hongera sana ukawe mtumishi mwemaDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
HONGERA SANA SANA .Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hongera sanaDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hongera sana Grecencia, ukawe mtumishi mwema!Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Congratulations!Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hii Sijui fresh from School haikuwa na haja ya kuiandika, Unatuchoma sisi ambao tuna 5+ years since we graduatedDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaDah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Shukran Sana kaka.Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Shukran Sana kakaCongratulations!
Usahili umefanya lini ?
Shukran Sana mkuuHongera sana Grecencia, ukawe mtumishi mwema!