Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ikifika December 1 hakuna news naacha kuweka MB labda waje wanipigie simu wenyewe kuniita kwenye interview [emoji28] aiwezekani miezi 6 yote Niko online kwa bajet kaliii sana ya MBs Yaani mimi ni wakuishi na Mb 200 siku 3 ili kusubria “call for interview “[emoji23] aseeee nimechokaaaa bora hata mnaosubiri placement dadeq
Hahaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] , pole mkuu
Nchi na jamii ya Kitanzania haina huruma na jobless hata kidogo
Haifeel maumivu na msoto wa kitaa jobless anaopitia
 
ba
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira
hongera sana ukawe mtumishi mwema aisee.
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hongera sana
 
safi sana hongera sana ukawe mtumishi mwema
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
HONGERA SANA SANA .
 
Hongera sana Grecencia, ukawe mtumishi mwema!
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Congratulations!
Usahili umefanya lini ?
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hii Sijui fresh from School haikuwa na haja ya kuiandika, Unatuchoma sisi ambao tuna 5+ years since we graduated
 
Dah! Mungu mkubwa na mimi leo nimepata kazi. Nipende kuwashukuru wanajukwaa wote kwa michango yenu imenisaidia sana na kuzingatia i was just fresh from school(graduated in 2022) na expirience yote nimeitoa kwenye hili jukwaa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapambania nyote mnaotafuta ajira.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Back
Top Bottom