Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Asee hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika utumishi wako
 
Hongera Sana, ukawe Mtumishi mwema. Kada yangu pia tulifanya 04.10.2023 lakin bado placement haijatoka ngoja tuendelee kuwa na subira
 
ASILIMIA 90 YA WANAOSUBIRIA PLACEMENT HUKU WAKIWA HAWANA SEHEMU YOYOTE YA KUJISHIKIZA HATA KIBARUA CHA KUZUGA KWA SIKU.... WAPO KATIKA KUNDI LA HATARI LA KUUGUA AFYA YA AKILI, .... 🀣.##ILA PSRS WANGEFANYA UTARATIBU MAJIBU YA ORAL YAWE WAZI...WATAUA WATU UNAKUTA MTU ANASEMA ANASUBIRIA PLACEMENT KUMBE ORAL ALIPATA 49 🀣...Yani inakuwa sawa unaenda Magufuli stand ukisuburia usafiri wa kwenda ZANZIBAR
 
Hongera sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na status inasoma selected for oral in both web & App [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna namna Mkuu ni kuhesabu tu Kama wataitwa mfano 28 na mlikuwa 30 kwenye oral hapo ndipo utakuwa na uhakika kwamba nilifeli oral
 
m

we hujui tu tunayopitia kiongozi, mimi nina namba zao kila mwezi lazima niwatumie whatsapp CV yangu yaani hii potelea mbali
Umesoma kozi gani?
Kama umesoma Accounts and related field nenda halmashauri yeyote omba kuongea na District Treasurer omba nafasi ya kujitolea au mkataba. Kuna uhitaji mkubwa sana wa wahasibu na wengi wapo wanafanya kwa mkataba huwa wanalipwa laki 4.5
 
Hii thread ilivyoanza nilikua muhumini mkubwa sana,
Nimejifunza mengi sana.

Nilivyopata kazi nikapotea kabisa.

Written sio ishu saaana,
Oral jamani oral
Techniques za kui_tackle oral ni muhimu saaaaana.
Ndio utupe na sisi abc za kutoboa oral nini cha kufanya ili tuweze kulamba asali.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…