Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 295
- 561
Wiki ijayo muda wangu wa kukaa kwenye hyo wanaita database unaisha na Sina received yyte nayosubili interview na matangazo nayo ndo hakuna, jobless tupo kwenye bad situation, hongera mliopata nafasi(placement)
Tushasagika na mawazo sana, just imagine mtu mwaka mzima unaishi kwa matumaini,Hakuna kukata tamaa mkuu, wakati wetu utafika.
Mkuu umeandika kwa hisia Kali Sana, Time will tell, siku yako Ipo inakuja, dah kwa jobless Mwenyezi Mungu atusimamie tuWiki ijayo muda wangu wa kukaa kwenye hyo wanaita database unaisha na Sina received yyte nayosubili interview na matangazo nayo ndo hakuna, jobless tupo kwenye bad situation, hongera mliopata nafasi(placement)
Daaah inauma,, kama somo la uvumilvu nimelifanya sana lakin sion mwangaMkuu umeandika kwa hisia Kali Sana, Time will tell, siku yako Ipo inakuja, dah kwa jobless Mwenyezi Mungu atusimamie tu
Mkuu umeandika kwa hisia Kali Sana, Time will tell, siku yako Ipo inakuja, dah kwa jobless Mwenyezi Mungu atusimamie tu
Karibu mkuuNaruhusiwa kuja inbobo unipe experience ya iki kitu
Karibu mkuu
Insurence and risk management ipo IFM ni hatariHiyo kozi ni jau sana kazi zake mpaka mwaka unapita huoni tangazo la kazi na ukiliona tangazo nafasi hazizidi mbili kwa mfano hilo la TIRA nafasi zilikua mbili waliomba watu 400 ni balaa hili kama una ndugu ni vizuri kumshauri kozi za kusoma japo mi sijasoma hio kozi kwa sababu Kuna mtu analalamikia hiyo kozi
Wafanye tu kama waalimu na watu wa afya ,haina maana mnafanya maombi mnasuburi miezi kuitwa usahili then mnafanya usahili halafu mnasuburi miaka kupata Placement , ni upuuzMimi ninachoomba tuu kwa sasa ifikie wakati wafanye kama TAMISEMI tuu, mnatuma maombi wanachakata wenyewe kisha wanatoa pdf la vituo vya kazi. Sababu mimi naamini kila mmoja anavyo vigezo na sifa za kupata kazi.
Hapana wao ndo waloshika mpini sis tumeshika makali, tuwe wapole tuwaombe watukumbuke tuuUtumishi ni wangese...
Wafanye tu kama waalimu na watu wa afya ,haina maana mnafanya maombi mnasuburi miezi kuitwa usahili then mnafanya usahili halafu mnasuburi miaka kupata Placement , ni upuuz