Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Placement za TIRA, Insurance Officer kazi zake zilitangazwa lini? Sijawahi ona tangazo la kazi
Ndio maana mqjobless tunaambiwa omba kazi hata kama umeona nafasi ni moja waombaji mko elfu.Hii tumeambiana humu kuwa kukaa kwenye database faida ni nyingi. Nafasi serikalini ikija ikakukuta kwenye database na una sifa basi unaenda na haitangazwi kwani watu wapo dbase.Ila da! Mkando wa written hadi uingie oral ni mtihani
 
Wiki ijayo muda wangu wa kukaa kwenye hyo wanaita database unaisha na Sina received yyte nayosubili interview na matangazo nayo ndo hakuna, jobless tupo kwenye bad situation, hongera mliopata nafasi(placement)
Ulianza kuhesabu lini/baada ya nini/ wakati upi?
 
Changamoto nyingine ni kwamba ili uwekwe kwenye database lazima uwe ulipata pass mark ya 50+ huko oral. Sasa kwa kuwa matokeo ya oral hayatolewi ukajua una ngapi ndipo pale ulipiga zako 40 halafu upo na matumaini ya kusubiri placement kutoka kwenye database.
Nmefanya oral December 2022, tena oral zaid ya Moja, Post tofaut tofaut. But sijui wenyew database huo mwaka wanahesabu kuanzia wakati gan
 
 
Nmefanya oral December 2022, tena oral zaid ya Moja, Post tofaut tofaut. But sijui wenyew database huo mwaka wanahesabu kuanzia wakati gan
Una mchecheti mzee mbona bado wanaanzaga kuhesabugu kuanzia siku yako ile uliyotoka oral.
 
Utumishi wakiita Interview Wana Per Diem...hizo siku zote za Interview kama 6 au 3.

Ila wakitoa Placement No Per Diem ...trust me ingekuwa na Placement Per Diem wanapata ingekuwa ,Hazichelewi Kivile...
 
Wana ndugu na Mimi nimechaguliwa kwa ajiri ya usaili[emoji39] naombeni MBINU jamani niweze kufanya vema jamani
Hongera kwa kuwa shortlisted.
Mbinu
1. Jiamini unaweza maana hapa tayari una tetemeka
2. Soma sana Mambo yanayohusiana na kada yako Ikiwa ni pamoja na majukumu yako vizuri Kama yalivyoainishwa kwenye tangazo
3. Angalau jitahidi field experience uwe nayo
4. Jibu maswali Kama yalivyoulizwa usiweke porojo na maelezo Kama vile unaelezea Vita ya majimaji
Aidha, Mtangulize Mungu kwa Kila hatua ya maandalizi
Ni hayo tu wataongezea wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…