El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
sio wangisi ? 🤣 🤣Utumishi ni wangese...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wangisi ? 🤣 🤣Utumishi ni wangese...
Ndio maana mqjobless tunaambiwa omba kazi hata kama umeona nafasi ni moja waombaji mko elfu.Hii tumeambiana humu kuwa kukaa kwenye database faida ni nyingi. Nafasi serikalini ikija ikakukuta kwenye database na una sifa basi unaenda na haitangazwi kwani watu wapo dbase.Ila da! Mkando wa written hadi uingie oral ni mtihaniPlacement za TIRA, Insurance Officer kazi zake zilitangazwa lini? Sijawahi ona tangazo la kazi
Ulianza kuhesabu lini/baada ya nini/ wakati upi?Wiki ijayo muda wangu wa kukaa kwenye hyo wanaita database unaisha na Sina received yyte nayosubili interview na matangazo nayo ndo hakuna, jobless tupo kwenye bad situation, hongera mliopata nafasi(placement)
Nmefanya oral December 2022, tena oral zaid ya Moja, Post tofaut tofaut. But sijui wenyew database huo mwaka wanahesabu kuanzia wakati ganUlianza kuhesabu lini/baada ya nini/ wakati upi?
Nmefanya oral December 2022, tena oral zaid ya Moja, Post tofaut tofaut. But sijui wenyew database huo mwaka wanahesabu kuanzia wakati gan
Changamoto nyingine ni kwamba ili uwekwe kwenye database lazima uwe ulipata pass mark ya 50+ huko oral. Sasa kwa kuwa matokeo ya oral hayatolewi ukajua una ngapi ndipo pale ulipiga zako 40 halafu upo na matumaini ya kusubiri placement kutoka kwenye database.
😂😂Picha la kwenda[emoji23]View attachment 2825496
Una mchecheti mzee mbona bado wanaanzaga kuhesabugu kuanzia siku yako ile uliyotoka oral.Nmefanya oral December 2022, tena oral zaid ya Moja, Post tofaut tofaut. But sijui wenyew database huo mwaka wanahesabu kuanzia wakati gan
Kama wanaanza kuhesabu siku nmetoka oral si ndo maana nmekua na mchecheto maana nmetoka oral December na December si kesho tu hapo mwaka unakua umekamilikaUna mchecheti mzee mbona bado wanaanzaga kuhesabugu kuanzia siku yako ile uliyotoka oral.
Naona portal nayo inasoma zero zero kila post, sijui tatizo ni nini.Hahahaa.
Nipo mkuu ingawa pamepoa sana
Sio placements tena😂kuna tangazo la interview uko..
Inaaziavpale matokeo yanapokuwa rasmi nadhani.si ndio?Kama wanaanza kuhesabu siku nmetoka oral si ndo maana nmekua na mchecheto maana nmetoka oral December na December si kesho tu hapo mwaka unakua umekamilika
utumishi miyeyusho sana halafu hata hawajishtukii🤣🤣🤣Sio placements tena😂
Hongera kwa kuwa shortlisted.Wana ndugu na Mimi nimechaguliwa kwa ajiri ya usaili[emoji39] naombeni MBINU jamani niweze kufanya vema jamani