Kila la heri braza ukafanye vyema kwenye usaili wa mchujo pale ndio pagumu sana.Nimefanikisha kupata bro kwa gharama affordable akhsante
Dah !Nukuu, "'Tumeyarudisha mashirika uhuru wa kujiendesha. Hapa katikati sheria zilibadilika hata ukitaka kufanya promotion lazima uombe kibali utumishi, UKITAKA KUAJIRI lazima uombe kibali. Lakini tukasema kwa utaratibu huo haya mashirika yetu hayawezi kwenda popote yatakufa tu" - Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina!!
Kila la heri braza ukafanye vyema kwenye usaili wa mchujo pale ndio pagumu sana.
Ukifika oral unakuwa na asilimia 90 za kula shavu, MUNGU akutangulie.
Kazi ishaisha. PSRS wakae pembeni sasa.
kweli kabisaUtumishi wakiita Interview Wana Per Diem...hizo siku zote za Interview kama 6 au 3.
Ila wakitoa Placement No Per Diem ...trust me ingekuwa na Placement Per Diem wanapata ingekuwa ,Hazichelewi Kivile...
Baba jeni byebye!Kazi ishaisha. PSRS wakae pembeni sasa.
Acha tuonje na ladha nyingine psrs nao wana mapungufuNukuu, "'Tumeyarudisha mashirika uhuru wa kujiendesha. Hapa katikati sheria zilibadilika hata ukitaka kufanya promotion lazima uombe kibali utumishi, UKITAKA KUAJIRI lazima uombe kibali. Lakini tukasema kwa utaratibu huo haya mashirika yetu hayawezi kwenda popote yatakufa tu" - Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina!!
Kwahiyo zile Placement ambazo hazijatoka ndio bye bye au sio ?kweli kabisa
yaani hata hayaeleweki waongee moja watu tujue kama tuapply utumishi au private sector.na ajira zitangazwe waziKwahiyo zile Placement ambazo hazijatoka ndio bye bye au sio ?
Oya ,tushaliwa mzee .
Kwa kauli hizi ,duh !
Hawa mi nadhani walishaamua tu kutumia taasisi binafsi kufanya mambo yao ,ila kutakuwa na maumivu bila shaka ,maana Madudu ya taasisi nayo yanajulikana aisee
Mashirika yakipewa full autonomy hadi kwenye kuajiri watu, tutegemee kutokuwepo kwa uwazi kama wa utumishi.yaani hata hayaeleweki waongee moja watu tujue kama tuapply utumishi au private sector.na ajira zitangazwe wazi
tutafanyaje sasa kama kizimkazi ameshabariki..Mashirika yakipewa full autonomy hadi kwenye kuajiri watu, tutegemee kutokuwepo kwa uwazi kama wa utumishi.
Watu wataanza kuwekana kama zamani.
hapo kosa ni la kwako wala usiwalaumu utumishi walishatoa masharti yao vyeti lazima vika hakikiwe na mwanasheria. hata sisi wengine kuna kipindi hatuwa shortlist kwa sababu kama hiyo.Oya wanajamii wezangu , ety leo sijawa shortlist na utumishi kisa sija akiki cheti cha kuzaliwa kwa mwanasheria , lkn cheti changu nili akiki na Rita , sasa naanza kuona dhuluma ya utumishi.
Nmefanya saili 2 hadi leo ndio utumishi wakatae kuni shortlist kisa sija akiki chet kwa wakili akika hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
Kama ndio njia waliotumia kupunguza watu sio sawa kabisa.
Dhuluma zimeanza mapemaa
Kwan tangazo linasemaje? Kama wamespecify GPA wanayoihitaji na wewe huna hyo GPA hutakuwa shortlisted, Ila Kama hawajaspecify GPA wanayoihitaji utakuwa shortlisted labda Kama vigezo vingine hujatimiza.Samahani wakuu nimemaliza diploma ya biomedical engineering hapo must na GPA yangu 3.4 haiwezi kuleta utata kweli kuwa short listed