CODE-04
JF-Expert Member
- Oct 17, 2023
- 961
- 2,716
Nukuu, "'Tumeyarudisha mashirika uhuru wa kujiendesha. Hapa katikati sheria zilibadilika hata ukitaka kufanya promotion lazima uombe kibali utumishi, UKITAKA KUAJIRI lazima uombe kibali. Lakini tukasema kwa utaratibu huo haya mashirika yetu hayawezi kwenda popote yatakufa tu" - Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina!!