Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapa ndio gap la mishahara kati ya taasisi na wizara/ halmashauri huanzia. Taasisi zikiwa na mamlaka kamili zinaweza kuamua tu kujiongezea mishahara na bodi ikipitisha basi kazi imeisha. Halmashauri hadi bunge lipitishe sio leo.

Sijui serikali hua inawaza nini kwenye hili suala.
 
Mbali na yote hayo una hulka ya kujieleza eleza sana lakini pia umekosa utulivu hata kwa deatails chache unazopewa, hebu jikusanye na uweke u serious kidogo kama una usela mwingi tafuta balance.
Nilimuambia Mimi ,hiyo Interview Anayoenda Hatoboi Atakuja Kusema hapa watu wanapendelewa ...Sio Muelewa kabisa ,alafu yupo kama maharage yani anarukaruka muda wote
 
Nilimuambia Mimi ,hiyo Interview Anayoenda Hatoboi Atakuja Kusema hapa watu wanapendelewa ...Sio Muelewa kabisa ,alafu yupo kama maharage yani anarukaruka muda wote
Binafsi namuombea afanikiwe ila awe na utulivu hususani anapokuwa ameelekezwa maana furaha ya call for interview anatakiwa asipoteze ni kaumakini tuu kadogo atafanikiwa ndugu yetu.
 
Binafsi namuombea afanikiwe ila awe na utulivu hususani anapokuwa ameelekezwa maana furaha ya call for interview anatakiwa asipoteze ni kaumakini tuu kadogo atafanikiwa ndugu yetu.

Appreciate [emoji1488]
 
Mi naona ije itokee mtumishi mmoja wa uko juu a rizain job afu aje aone msoto tuoupata uku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…