El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
saa nyingine huwa inabadilika inakua not selected for oral alaf inarudi vilevileNa ukikosa kazi je?
Haya mabadiliko hutokea kwenye web pia?saa nyingine huwa inabadilika inakua not selected for oral alaf inarudi vilevile
ndio mie imeshanitokea kama interview mbili hivi nikajua tu nimeshaliwa kichwa.. 🤣 🤣Haya mabadiliko hutokea kwenye web pia?
alaf mpaka leo huwa bado zinabadikaga tu na interview nilifanyaga karibia miaka 3 iliyopita.[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mkuu mmoja wiz hiyo alikuwa anaita baba Jeni bye bye
Mi nilidhani Huwa zinabadilika kwenye app tualaf mpaka leo huwa bado zinabadikaga tu na interview nilifanyaga karibia miaka 3 iliyopita.
amna inatokeaga kote tena usiombe ikutokee iyo.yaan ikitokea iyo hamna aja ya kuchungulia placement 🤣 🤣Mi nilidhani Huwa zinabadilika kwenye app tu
Namna ya kutoa matokeo ya oral hiyo[emoji23]amna inatokeaga kote tena usiombe ikutokee iyo.yaan ikitokea iyo hamna aja ya kuchungulia placement [emoji1787] [emoji1787]
ndo ivo mie nilivoona iyo status inabadilikabadilika nikawapigia simu nilivyowaeleza wakaanza kunicheka wakanambia nijitahidi interview ijayo.. 🤣 🤣Namna ya kutoa matokeo ya oral hiyo[emoji23]
ndo ivo mie nilivoona iyo status inabadilikabadilika nikawapigia simu nilivyowaeleza wakaanza kunicheka wakanambia nijitahidi interview ijayo..
😂😂😂Aisee jamaa huwa yanaanza kutokea baada ya muda gani?ndo ivo mie nilivoona iyo status inabadilikabadilika nikawapigia simu nilivyowaeleza wakaanza kunicheka wakanambia nijitahidi interview ijayo.. 🤣 🤣
ukiona status inachange tu ujue hata database haupo. 🤣 🤣MIMI NINA USHAHIDI UKIONA HATA SIKU MOJA KWENYE WEB AU APP UKI REFRESH MARA INAONEKANA NOT SELECTED FOR ORAL BASI UJUE HIYO SIO ISHARA NZURI...
Kwann??? Kwa sababu... Sisi tuliosoma Tehama tunajua mtu akiwa anafanya modification kwenye database basi kuna signal flani lazima zitokee kwa mtumiaji..... So akisema Not selected for oral inamaana Either hujafikisha Pass mark/ kwenye ile List ya kutoka recently ww haupo...nasema hivyo kwa experience kabisa....
Muulize yoyote aliyeona hilo badiriko la Not selected , Either mpka leo hajapata kazi Au alipata baadae sanaaaa yani alishakata tamaaa ...Kuna zile nafasi za halmashauri ya Waging'ombe labda wametaka watu ile usiku usiku....ndio wanaenda kuangalia masalia msobe msobe unajikuta umo....NB: NOT SELECTED FOR ORAL ...hata jina tu linajieleza yani kuwa sio kitu kizuri ,ukiachana na definition zetu 🤣🤣
Inawezekana ikawa within a Month, since umefanya Interview... Yani before hata ile Post haijatoa watu..wa kwenda kazini....Au hata baada ya kutoa kuna siku ukiingia ukirefresh tu utaona ,yani lazima😂😂😂Aisee jamaa huwa yanaanza kutokea baada ya muda gani?
YES INAWEZEKANA, NAKUBALIANA NA WEWE KWA 100% .... tena kwa evidence.ukiona status inachange tu ujue hata database haupo. 🤣 🤣
Au ukiwepo basi ni maji ya jioni sanaaa...ukiona status inachange tu ujue hata database haupo. 🤣 🤣
Wazee tuwekane Sana kwanza, hivi huwa unaanza kuchange baada ya muda gani after oral maana naona Kivumbi😂😂😂ukiona status inachange tu ujue hata database haupo. 🤣 🤣
Ohoooo, 🤣🤣🤣 hii ya kuchange ebu itulie kwanza huu mwaka upiteInawezekana ikawa within a Month, since umefanya Interview... Yani before hata ile Post haijatoa watu..wa kwenda kazini....Au hata baada ya kutoa kuna siku ukiingia ukirefresh tu utaona ,yani lazima
Umefanya Oral lini?? Mwezi umepita ? Kama umepita na hujaona bado endelea kujipa moyoWazee tuwekane Sana kwanza, hivi huwa unaanza kuchange baada ya muda gani after oral maana naona Kivumbi😂😂😂