Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mbona unakuwa kama mtoto mzee.

Fuatilia ajira zote za mkataba utumishi hawazifuatilii wao.

Wao wanakuwa kwenye usaili tu.

Hauoni CBE nao unapeleka maombi chuoni.

Sio kwamba wamewapa mamlaka ajira ni ya mkataba hawasimami full
Mi ninachosema ni hayo mambo ya kupeleka maombi manually ni ya kizamani...
Wapewe mfumo wautumie kuajiri
 
🤣🤣🤣🤣Daaah!!! Braza kwanini iwe Wanging'ombe lakini.........si ungetolea mfano hata Buhigwe huko.

Huzuni sana.
 
NDugu ITpersonel tupe za ndani kaka,Jana na leo umekuwa kimya ghafla...vp pdf zinatoka lin tujiandae kaka
 
yaah utumishi wako ofisi ya rais, kwan tamisemi wao wako ofisi gani mzee?

wote hao ni ofisi moja. so suala la kuajiri bila usahili kama wafanyavyo tamisemi inawezekana
 
Na Mwamba Ndio Kwanza kaitwa Interview ila Ukoo Mzima Washapata Habari.... Kuwa kaitwa Kwa ajiri ya kupata kazi serikalini....🤣🤣

Boss huyu jamaa ,Akipita Written Mimi na left Jamii Forum bcz Haya mawenge Hichi kichwa sio... 🤣Hao ndio wanalalamikaga Watu wanapendelewa ....Anaambiwa Cirlce yeye anaandika Alphabet
Wewe jamaa kichwa chako kibovu hata sikuamini.
 
IT KASHIKIRIA PDF KAMA 4 MKONONI NA HATAKI KUPOST SIJUI ANA SHIDA GANI,

YANI IPO HIVI UNAJIKUTA UNALALAMIKA PLACEMENT HAZITOKI SIKU IKITOKA NA JINA LAKO UKIENDA UNAKUTA BARUA YAKO YA KAZI ILISHA SIGNIWA NA KATIBU TANGIA MWEZI WA TISA.(9) ILA PLACEMENT WAMEWEKA MWEZI WA 11..

KUNA SIKU ZILE ZA TRA MAMA AKASEMA NYIE VIPI MNASHIDA GANI MBONA TRA WANALALAMIKA HAMUWAPI WATU WAO... ILIKIWA SAA SABA HIVI MCHANA BASI MPKA SAA SABA NA NUSU ETI TAYARI YAMETOKA ....YANI MAJINA YAPO, NA WANAJUA UNAENDA TAASISI GANI...
ILA IT NDIO HIVYO ANA PDF MKONONI... ILA J.3 HAIFIKI MAKE SURE UNA BUNDLE LEO ,KESHO ...J.MOSI NA J.PILI KUNA MZIGO UTAACHIWA
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa bange sana uyu....-acha kumuombea mwenzio hvo bhanaaa
 
Yah ! Ni kweli mkuu , unajua hai make sense kabisa hii kitu mzee
Yaani kwa kweli imekuwa mwiba hasa kwa watafuta ajira kupitia mfumo wa PSRS
 
wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…