wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kile
Dah ! Ni kukaza moyo ,ila mtihani sana kakaNiko pamoja na wewe kakaaa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣hao utumishi ni mipunga
Nchi inaendeshwa kwa propaganda hii we acha tu , mfumo wa PSRS ni mzuri ila mauzauza ya kuchelewesha Placement Ndio shida na ndio inatumika kama point ya hao taasisi ,wakati nao ni Madudu tupu .wametangaza kazi mwezi wa 5 mpaka leo hawajatoa placement sasa walikuwa wanalalamika nini utumishi walivyochelewa kipindi kile
Shida Siasa inaingia kwenye Taaluma ndo matokeo tunayaona......Nchi inaendeshwa kwa propaganda hii we acha tu , mfumo wa PSRS ni mzuri ila mauzauza ya kuchelewesha Placement Ndio shida na ndio inatumika kama point ya hao taasisi ,wakati nao ni Madudu tupu .
Mimi kilio changu always ni psrs kufanyia kazi na kutokomeza hili tatizo la kuchelewesha kutoa Placement ,atleast WA deal na hili kwanza , ingawa tunajua pia hata kuita interview ,sahili nyingi inachukua muda mrefu pia
Tatizo sugu la kuchelewesha Placement ni mwiba na inaumiza sana
Dah ! Ni kukaza moyo ,ila mtihani sana kaka
Basi tu
Aweke mkeka watu tunasubiri..............IT anauliza mna bando?
Leteni shuhuda wakuukuna pdf hukoo page 5 zimeshiba
Umetisha sana mkuu, japo kada niliokuwa naisubiri haijatokeakuna pdf hukoo page 5 zimeshiba
Ni kweli wameweka, ingia uone
Kuwa na heshima hata kidogo, hapo utumishi kuna wazazi wa watu na wanafamilia zao. Njaa zako zisiwavunjie watu heshima. Kesho wewe utafanya kazi utumishi utafurahi ukitusiwa hivi?hao utumishi ni mipunga
endelea kuvumilia mkuu pdf yako inakuja soon kwa uwezo wa munguUmetisha sana mkuu, japo kada niliokuwa naisubiri haijatokea