Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna sisi ambao ndo kwanza2 tunasubir interview ha2jaitwa..yani stress tu na ha2oni job adverts n shidaa yn
kuna wanaosubiri adverts kuna wanaosubiri interview na kuna wanaosubiri placement. ngoja me niendelee kusubiri japo najua placement mpaka mwakani
 
kuna wanaosubiri adverts kuna wanaosubiri interview na kuna wanaosubiri placement. ngoja me niendelee kusubiri japo najua placement mpaka mwakani
Yaniii full stress..ila bora uwe unasubir placement vistatus si vishaanza kusom soma uko
 
Acha wasaidiweee majukumu yamewaelemea tutest na njia mbadala not always psrs
 

Tarehe 11 mnafanya written watu 1000+
Tarehe 12 majibu ya written yanatoka

Hapo kuna muujiza gani unafanyika kusahihisha na kupitia usahihishaji hadi majibu kutoka kwa wasahiliwa??
 
Shida hata wanaowasaidia wanafanya Yale Yale. TRA mchakato umeanza mwezi wa 5 mpk Leo kimyaaa, wanatofauti Gani ss na utumishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
All in all sjajua kwa nn TRA wamechelewa ila kwa mtazamo wang hawa PSRS wameelemewa zaidi na wamekua na power kubwa kwa sabab mchakato wote wa ajira ulikua chini yao,so naona ni bora taasisi zingine ziajiri wenyewe tutest na ladha nyingine piaa
 
Shida hata wanaowasaidia wanafanya Yale Yale. TRA mchakato umeanza mwezi wa 5 mpk Leo kimyaaa, wanatofauti Gani ss na utumishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mim ni mmoja wa waliofanya pepa za TRA niliexpirience utofauti mkubwa sana wa saili zinazoendeshwa na psrs,kwanza psrs msailiwa wanamtreat as if ni mtu duni anaestahiki kujiwa vyvyte poor customer service,lkn pale TRA hakuna kufokewa wala maelekzo ya ajbu ajbu kila mtu yuko peacefully kbsa,ndani ya pannel unapewa chance ya kujielezea mpk ww mwenywe uridhike psrs pale oral zao za kibabe babe kidgo unaskia next question....so binafsi naona bora ss tutest na namna nyingine
 
Kuna siku niliweka begi lang juu ya floor ya stage pale juu kuna mkandaji alinikormea utasema nimeiba 😅
 
hiyo vetting ni kitu gani na inafanyika vipi...
 
Wewe umetoa mfano wa nyuma sana mkuu. Mwaka huu tu 2023 kuna watu walifanya Oral June ilipofika August wakapata placement. Mwajiri akiwa na uharaka placement zinatoka mapema sana
 
Kwani wanaosimamia Oral interview ni wakina nani saili za Utumishi kama sio Taasisi yenyewe!!!!Utumishi kwenye oral wao ni kusimamia tu na kuangalia mchakato unaendaje...
Sema upepo wa panel ukikujia vinzuri ni neema kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…