Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaan na hizo nauli mpya naona kabisa jobless tunaenda kuumia, coz hizo gharama za Nauli kwa sisi wa mikoani ni hatarii

,[emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani Mungu atukumbuke, nauli mpya ni maumivu haswaa!
 
Kabla mwaka kuisha nahakika Mwenyezi Mungu atatenda miujiza, wengi naamini mwaka ujao tutakuwa watumishi, yote yanawezekana. Huu mwezi wa 12 ukawe mwezi wa furaha majina yetu yakawekwe kwenye pdf zitakazotoka.
🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…