Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kutumiwa email haimaanishi aliektumia ni authentic sender,nina was was na hizo emails ni spam
ile email iliyokuwa inatoa update tangu mwanzo wa mchakato ndio hiyo iliyoita watu kazini. mim sikuwa shortlist kwenye interviiew nikatumiwa email na aliyepata kanionesha hiyo email. yaani kwa kifupi ni email kutoka tra sio spam
 
Tuone hio email.
 
Tunasubiri tuone lakini haziji

Prof. Kwa macho yangu nimeshuhudia watu wameandaa party ya ghafla ili kusherehekea kuingia kwenye mzinga wa asali.

Maana TRA ni mzinga wenyewe, kwa sababu kazi ya hawa maafisa ni kucheza na nyuki moja kwa moja, na sio pipa la asali.

Japo dogo langu aliambiwa irrelevant qualifications pamoja na kufaulu, lakini kilichonifariji ni kuona vijana wachache wasiopungua 10 ninaowajua hawana ndugu wala msaada wowote wakubebwa nao wametumiwa e-mail yakupata kazi.

Hebu kama na humu mpo mliopata tupeni mrejesho wakuu ili tuone hali halisi ya matokeo kiujumla.
 
Binafsi kwa mliofanya huo usaili huko TRA na mmetumiwa hizo Emails za kukutaka uripoti kituo Cha kazi ripotin haraka. Halafu Mambo mengine mtajua mkifika huko, wahini muwekwe kwenye payroll ya disemba. Hongereni nyote mliopata.
 
Unafikiri hawaendi kisa kuna walakini lazima waendw hayo mambo mengine watajua baadae huko mbeleni
 
Jamani Mimo nimtaalamu wa Tehama, Hizo Email ni kweli kabisa wala sio Sparm ...cz ina Private Domain so ni valid kabisa na wala hazina shaka yoyote.

Kuhusu why watumiwe EMAILS na sio PDF Sababu ni hizi hapa.

Kwanza ni bora wao Email, wengine waliitwa practical Interview Kwa sms, tena one day before ambayo ilikuwa haijawa planned...

Ila mimi Naona Bora wasitoe Majina Maana wakitoa majina ,kuna watu wana Pdf ya walioitwa Interview wataangalia na Pdf ya Walipata ya mungu mengi kuna watu labda hawakufanya interview ila jina bahati mbaya limetokea kwenye mkeka Typing Error.....So watanzania lazima tu wataanza mapungufu...

Tatu; kuna majina ambayo either mwisho yana ubini na wa viongozi lazima italeta shida cz kuna asilimia 99 wapo...So walichotumia Tra ni busara....... Japokuwaaaa;-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…