Jamani Mimo nimtaalamu wa Tehama, Hizo Email ni kweli kabisa wala sio Sparm ...cz ina Private Domain so ni valid kabisa na wala hazina shaka yoyote.
Kuhusu why watumiwe EMAILS na sio PDF Sababu ni hizi hapa.
Kwanza ni bora wao Email, wengine waliitwa practical Interview Kwa sms, tena one day before ambayo ilikuwa haijawa planned...
Ila mimi Naona Bora wasitoe Majina Maana wakitoa majina ,kuna watu wana Pdf ya walioitwa Interview wataangalia na Pdf ya Walipata ya mungu mengi kuna watu labda hawakufanya interview ila jina bahati mbaya limetokea kwenye mkeka Typing Error.....So watanzania lazima tu wataanza mapungufu...
Tatu; kuna majina ambayo either mwisho yana ubini na wa viongozi lazima italeta shida cz kuna asilimia 99 wapo...So walichotumia Tra ni busara....... Japokuwaaaa;-