Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 428
- 1,341
Kwa mujibu wa za ndani ,leo mkeka ulitakiwa mpaka muda huu uwe umeshatoka .... Cz anao on hand ...ila pia nahisi hawa jamaa wanaotakiwa kwenda kuchukua barua wakichelewa kwenda pia inaleta jam...cz haiwezekani leo j.3 tangazo la placement watu 59 ...thn mpka ijumaa unakuta wameenda watu 4 ...so lazima wa delay ili zile zipungue au ziishe... But IT anayo mkononi pdfleo vp..?
Nakubali...mwaka haushi kila mtu atakuwa na check number humuAlafu kikubwa ni subra, Sasa wakuu kama wewe Tayari ushafanya Oral na subra inakuwa ngumu hivyo....
Yule ambaye hana hata Received afanyaje???...
Nyie Tulieni;- nawahaadi humu, before chrismass kuna shuhuda zitakuja humu si chini ya watu 10...
11--23 Kwenye range ya hizo tarehe 11pka 23) wale wa MDA & LGA wengi watachomokea hapo .
Kuna keka la kibane lipo jikoni, hilo keka ndio PSPRS wataenda kuchukulia sifa... Huu mwaka wadau hauishiiii
Expectation kills....wakuuu... Yani unajikuta eti ushaanza plan unasema mimi kazini Tayari 😀....Ajira ni mchakato, lazima uumiee ,upigwe torture nyingiii....Alafu unamkuta mtu anapata kazi anaenda kuhonga, wakati Bimkubwa muda huu choo chake hakina mlango ameegesha makuti na matambara .... Kisa wewe kukusomesha na bado unamwambia bi mkubwa naomba niongezee kiasi fulani ,niende Dodoma kwenye interview Bimkubwa anakopa ,ana jinyima , Bimkubwa kula nyama kwake ni anasa, ..mtu unapata kazi unachukua laki 8 unaenda mnunulia simu Malaya, .... Oya wakuuu mtalaaniwaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kukandwa sikia tu hii ktu inauma sana..
Na ukute mtu ameenda na expectations kubwaa..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kukandwa sikia tu hii ktu inauma sana..
Na ukute mtu ameenda na expectations kubwaa..
😂😂😂 Akili ikakukaa sawamie interview ya kwanza tu utumishi niliingia oral nikaanza kuwaona wakandwaji hawako serious interview zilizofuata sasa ni full not selected for oral..🤣🤣
😂😂😂 na akili ikakukaa sawa🤣🤣mie interview ya kwanza tu utumishi niliingia oral nikaanza kuwaona wakandwaji hawako serious interview zilizofuata sasa ni full not selected for oral..🤣🤣
yaani nimekoma 🤣 🤣😂😂😂 na akili ikakukaa sawa🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio yy tu,m2 yyte ukikandwa huu uzi unaongeza stress balaa apo kusahau inachkua muda kdgkama kakandwa sizani kama atakua na hamu ya uzi [emoji1787] [emoji1787]
Mkuu unasubiri placement kada ipi? Ukute tuko kwenye kapu Moja.leo vp..?
unanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu. 😂 😂 😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kukandwa sikia tu hii ktu inauma sana..
Na ukute mtu ameenda na expectations kubwaa..
[emoji23][emoji23][emoji23]we Acha 2 yanauma vbaya..kla saa unaangalia lile neno not selected for oral interview [emoji58], huamin kbsandugu yetu atakua anauguza manundu uko
Apo kwa majiran ndipo ulipobugii[emoji23]unanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Punguza pressure Andaa ,nguo na nauli za kufata barua dodoma... Kupata Kazi utumishi ni kama kifo tu kila mtu aliyepo database atafikiwa ni suala la muda.... Na washasema Hawataki uchafu wa database wafike nao 2024 yani kuna fagia fagia hukoo... watu wanaambiwa kabisa maofisini kama unahisi una miaka 57 staff kwa hiyari ule mzigo kuna damu changa zipo motoo tunataka tuwaweke humu.Mkuu unasubiri placement kada ipi? Ukute tuko kwenye kapu Moja.
Mana naishi kwa presha Sana recently.
mie nasubir electrical eng nilifanya mwez wa 6 uko..Mkuu unasubiri placement kada ipi? Ukute tuko kwenye kapu Moja.
Mana naishi kwa presha Sana recently.
Ukiingia kwenye huu Uzi unakutana na shuhuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio yy tu,m2 yyte ukikandwa huu uzi unaongeza stress balaa apo kusahau inachkua muda kdg
Yani kwann mnakuwa manatangaza?? Ww mwambie tu bi mkubwa hata ndugu zako ww wakaushie waone tu... Upo serikalini kitengo halmashauri ya Njombe mji. HukoApo kwa majiran ndipo ulipobugii[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hv m2 unatakiwa kua mpole and let the success make noise[emoji23][emoji23][emoji23]we Acha 2 yanauma vbaya..kla saa unaangalia lile neno not selected for oral interview [emoji58], huamin kbsa
Sasa nyie sio ndio PDF Lenu , si ndio linatoka week hii mnaenda bwawa la umeme huko nyerere ...maana ndio wanataka kuwasha mitambo sasamie nasubir electrical eng nilifanya mwez wa 6 uko..