Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

leo vp..?
Kwa mujibu wa za ndani ,leo mkeka ulitakiwa mpaka muda huu uwe umeshatoka .... Cz anao on hand ...ila pia nahisi hawa jamaa wanaotakiwa kwenda kuchukua barua wakichelewa kwenda pia inaleta jam...cz haiwezekani leo j.3 tangazo la placement watu 59 ...thn mpka ijumaa unakuta wameenda watu 4 ...so lazima wa delay ili zile zipungue au ziishe... But IT anayo mkononi pdf
 
Alafu kikubwa ni subra, Sasa wakuu kama wewe Tayari ushafanya Oral na subra inakuwa ngumu hivyo....

Yule ambaye hana hata Received afanyaje???...

Nyie Tulieni;- nawahaadi humu, before chrismass kuna shuhuda zitakuja humu si chini ya watu 10...

11--23 Kwenye range ya hizo tarehe 11pka 23) wale wa MDA & LGA wengi watachomokea hapo .

Kuna keka la kibane lipo jikoni, hilo keka ndio PSPRS wataenda kuchukulia sifa... Huu mwaka wadau hauishiiii
Nakubali...mwaka haushi kila mtu atakuwa na check number humu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kukandwa sikia tu hii ktu inauma sana..

Na ukute mtu ameenda na expectations kubwaa..
Expectation kills....wakuuu... Yani unajikuta eti ushaanza plan unasema mimi kazini Tayari 😀....Ajira ni mchakato, lazima uumiee ,upigwe torture nyingiii....Alafu unamkuta mtu anapata kazi anaenda kuhonga, wakati Bimkubwa muda huu choo chake hakina mlango ameegesha makuti na matambara .... Kisa wewe kukusomesha na bado unamwambia bi mkubwa naomba niongezee kiasi fulani ,niende Dodoma kwenye interview Bimkubwa anakopa ,ana jinyima , Bimkubwa kula nyama kwake ni anasa, ..mtu unapata kazi unachukua laki 8 unaenda mnunulia simu Malaya, .... Oya wakuuu mtalaaniwaaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kukandwa sikia tu hii ktu inauma sana..

Na ukute mtu ameenda na expectations kubwaa..
mie interview ya kwanza tu utumishi niliingia oral nikaanza kuwaona wakandwaji hawako serious interview zilizofuata sasa ni full not selected for oral..🤣🤣
😂😂😂 Akili ikakukaa sawa
 
unanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Apo kwa majiran ndipo ulipobugii[emoji23]
 
Mkuu unasubiri placement kada ipi? Ukute tuko kwenye kapu Moja.

Mana naishi kwa presha Sana recently.
Punguza pressure Andaa ,nguo na nauli za kufata barua dodoma... Kupata Kazi utumishi ni kama kifo tu kila mtu aliyepo database atafikiwa ni suala la muda.... Na washasema Hawataki uchafu wa database wafike nao 2024 yani kuna fagia fagia hukoo... watu wanaambiwa kabisa maofisini kama unahisi una miaka 57 staff kwa hiyari ule mzigo kuna damu changa zipo motoo tunataka tuwaweke humu.
 
Wakuu rasmi mwakani naanza kwenda interview za serikali..nilikuwa sijawahi kwenda interview yyte ya serikali Mara ya mwisho nilienda Idara ya Maji 2021 ICT OFFICER Arusha tulikandwa Ile interview sitoisahau aiseee
 
Back
Top Bottom