Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Kwa mujibu wa za ndani ,leo mkeka ulitakiwa mpaka muda huu uwe umeshatoka .... Cz anao on hand ...ila pia nahisi hawa jamaa wanaotakiwa kwenda kuchukua barua wakichelewa kwenda pia inaleta jam...cz haiwezekani leo j.3 tangazo la placement watu 59 ...thn mpka ijumaa unakuta wameenda watu 4 ...so lazima wa delay ili zile zipungue au ziishe... But IT anayo mkononi pdfleo vp..?