Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Isije ikawa ndio wewe mzee wa flash[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], JF tunaishi kitaalamu sana.Mimi nakwambia Andaa Nauli, na kama unabisha wait IT adondoshe Pdf uone shuhuda... Na halmshauri zimejaa yani ni mwendo wa Mitaasisi mi TBS huko, miofisi mikubwa mikubwa ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa raisi... Hazina hazina , Tume ya uchaguzi yaniiii Waits for Asali
Sema maboot ya Makofia360 yamekukaa vizuri sana.