Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Isije ikawa ndio wewe mzee wa flash[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], JF tunaishi kitaalamu sana.

Sema maboot ya Makofia360 yamekukaa vizuri sana.
 
aisee ukimya ni muhimu sana.tatizo zile interview za mwanzo mtu anakua wa moto yaani kichwa hakitulii ukiitwa interview unajua unaenda kuanza kazi yaani ukoo lazima ujue.ukikandwa sasa ndio kichwa kinakaa sawa..
 
Kama vile tupo wote Mimi Hadi nilionao kibaruani sijawambia na hawajui na hawatojua labda nipate placement 😂😂😂
si uanjua wenge tena ila mikando inatufanya tunakuwa na hatujiwekei tena matarajio makubwa pia tunazidi kupambana. interview ya mwisho nimefika oral na hakuna anaejua kuanzia majirani mpaka familia 😂 😂 😂 .
 
Nyie nyie mm nilikulaga 48.5 kidogo nilie🤣🤣🤣
Noo ukikandwa wala huwazi nauli, Unawaza zile Marks kufikia Passmark., Mfano umepata 47 thn wamekatia 50 🤣🤣...kichwa kinawaka Moto sasa zile 3 huyu msahihishaji si angeweka tuuu....au daaah hizi nilizokosa swali fulani
 
aisee ukimya ni muhimu sana.tatizo zile interview za mwanzo mtu anakua wa moto yaani kichwa hakitulii ukiitwa interview unajua unaenda kuanza kazi yaani ukoo lazima ujue.ukikandwa sasa ndio kichwa kinakaa sawa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiyo mentality nilikuwa nayo ila nilinyamazishwa na written ya kwanza hadi kuingiwa na hofu
 
Noo ukikandwa wala huwazi nauli, Unawaza zile Marks kufikia Passmark., Mfano umepata 47 thn wamekatia 50 [emoji1787][emoji1787]...kichwa kinawaka Moto sasa zile 3 huyu msahihishaji si angeweka tuuu....au daaah hizi nilizokosa swali fulani
Niliwahi kukosa marks 12, nilihuzunika sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiyo mentality nilikuwa nayo ila nilinyamazishwa na written ya kwanza hadi kuingiwa na hofu
😅 nikifanyaga pesa rahis lakin nikala 47 nilichoka, na j mosi natakiwa niwe dom sasa nawaza sana
 
Sheria Ukienda kwenye mikando Marufuku kuhadithia majirani , Ndugu , Wapenzi ,hata marafiki Nenda kimya kimya.... Sio wote watafurahia upate kazi.. Cz Asilimia 99 ya watu wanaotuzunguka wanajua ukipata kazi serikalini umetoboa....wao hawajui halmashauri wala nn wanajua ukiwa serikalini umeula, so lazima husda ziwepo so unashangaa unakosa marks moja kumbe kuna ndugu anakusagia kunguni kwa waganga....

Ndio maana nikamwambia innojembe huwezi toboa cz tayari umepanick na umeshirikisha raia wote kuwa unaenda usaili wa seeikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…