ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Kabisa kabisa MkuuSheria Ukienda kwenye mikando Marufuku kuhadithia majirani , Ndugu , Wapenzi ,hata marafiki Nenda kimya kimya.... Sio wote watafurahia upate kazi.. Cz Asilimia 99 ya watu wanaotuzunguka wanajua ukipata kazi serikalini umetoboa....wao hawajui halmashauri wala nn wanajua ukiwa serikalini umeula, so lazima husda ziwepo so unashangaa unakosa marks moja kumbe kuna ndugu anakusagia kunguni kwa waganga....
Ndio maana nikamwambia innojembe huwezi toboa cz tayari umepanick na umeshirikisha raia wote kuwa unaenda usaili wa seeikalini.
🤣🤣Pamoja na kufaulu,walinipiga chini kisa nilimtania boss wao Kenneddy 🤣🤣Ni mara mia PSRS wacheleweshe mchakato lakini watu wapate nafasi kwa haki na kwa uwazi, kuliko na gizani jinsi Taasisi zinavyofanya zenyewe.
Tumeona ya TRA, BoT( Ironbutterfly tupe mrejesho)
🤣🤣Eti oral nafasi ya mtu mmoja, mnaitwa watu 24,si usanii huo?Huko BOT ndio Balaa
Written ilifanyika unaandika jina lako badala ya namba🥹
hivi huko hakunaga database..🤣🤣Eti oral nafasi ya mtu mmoja, mnaitwa watu 24,si usanii huo?
Sawa waache wawekane mambulula,linchi limeoza hili,vilaza ndo wanapewa nafasi.
Hamna ,mavilaza ndo yanawekwahivi huko hakunaga database..
ulimtaniaje sasa.🤣🤣Pamoja na kufaulu,walinipiga chini kisa nilimtania boss wao Kenneddy 🤣🤣
nilikulaga 50 alafu wakachukua kuanzia 52 😂 😂 walioenda prac ilikuwa nyeupe sana na waliofika oral wakachukuliwa wote kwenda tra system administratorNyie nyie mm nilikulaga 48.5 kidogo nilie🤣🤣🤣
hahahHamna ,mavilaza ndo yanawekwa
Linchi limeoza hili
🤣🤣Alinilazimisha kuuliza swali la ziada,nikamjibu ,nope ,no question, akaendelea kufosi kunihoji, still nikamjibu nopeulimtaniaje sasa.
Ulimtania wapi, kwenye Interview ama...[emoji1787][emoji1787]Pamoja na kufaulu,walinipiga chini kisa nilimtania boss wao Kenneddy [emoji1787][emoji1787]
Eeh trust mehahah
Ahsante kwa kusindikizia na picha[emoji1787][emoji1787]Alinilazimisha kuuliza swali la ziada,nikamjibu ,nope ,no question, akaendelea kufosi kunihoji, still nikamjibu nope
Aliponiuliza Mara ya tatu nikaona anazingua,
Nikamwuliza; what's your name?
Akanijibu;Am Mr Kennedy
Nikamwuliza Tena?are you married?[emoji1787]
Akapigwa butwaa[emoji23][emoji23]
Panel yote ikaangua kicheko.
EehUlimtania wapi, kwenye Interview ama...
There🙏Ahsante kwa kusindikizia na picha
hahah hapo ulitoa kali ya mwaka.ungemuuliza background yake kama alivyokuuliza wewe mwanzoni.Eeh
Sasa kwenye interview ukiulizwa additional question si Unasema lolote?
Hata mambo ya dini unaweza question
Daa mimi nilikandwa interview ya kwanza tuu hata sikuingia oral, ila jmos tena nimkeua shortlisted kwenda written tena MUNGU anifanyie wepesi nivuke hatua inayofatia! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]mie interview ya kwanza tu utumishi niliingia oral nikaanza kuwaona wakandwaji hawako serious interview zilizofuata sasa ni full not selected for oral..[emoji1787][emoji1787]
mungu ni mwema amini na pambana sanaDaa mimi nilikandwa interview ya kwanza tuu hata sikuingia oral, ila jmos tena nimkeua shortlisted kwenda written tena MUNGU anifanyie wepesi nivuke hatua inayofatia! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]