Sheria Ukienda kwenye mikando Marufuku kuhadithia majirani , Ndugu , Wapenzi ,hata marafiki Nenda kimya kimya.... Sio wote watafurahia upate kazi.. Cz Asilimia 99 ya watu wanaotuzunguka wanajua ukipata kazi serikalini umetoboa....wao hawajui halmashauri wala nn wanajua ukiwa serikalini umeula, so lazima husda ziwepo so unashangaa unakosa marks moja kumbe kuna ndugu anakusagia kunguni kwa waganga....
Ndio maana nikamwambia
innojembe huwezi toboa cz tayari umepanick na umeshirikisha raia wote kuwa unaenda usaili wa seeikalini.