Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wapambanaji hakuna kukata tamaa.
Nani kashika kijiti cha mfwende sawadogo ?
Wadau hakuna kukata moto. Mwezi huu hadi kufikia Siku ya Uhuru vijana watatoka β€œBlock”
Rafiki angu mfwendesawadogo upo aisee kama umechomoka jamaa yangu hongera sana sikujui lakin huku niliko nmefurahi mno mnoooo jamaa yangu,patient is everything
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani hii ni kweli kabisa, haya mambo ya kutangaza sio mazuri hata wazazi wako saingine inabidi usiwaambie maana hujui wao wanawaambia wanani, mi kazi niliyopata siku naenda kwenye sail hakuna aliyejua, wakati wa oral ni vile nilikuwa naenda Dom ndio walijua lkn written nilipiga kimya kimya na majibu yalivotoka nikashangilia mwenyewe tu Hadi nilivoona tarehe ya kwenda oral ndio nikawaambia wakabaki wanashangaa written ulifanya lini, sasa ulikitaka kuamini wao wanajua ukienda oral ijumaa jumatatu umeitwa, kumbe utumishi utasahau kila kukicha maneno yakukatishwa tamaa Hadi nilijua kwann niliwaambia na oral, siku nimeona jina hawakiamini wasema tuonyeshe huo mkeka ndio wakaamini.

Kwahyo nawashauri ndugu zangu siku ukiitwa kwenye usahi muombe Mungu wako kimyakimya atakufanikisha ukishafaulu ndio uwashidikishe watu wako wa karibu
 
NAWASIHI MSIKATE TAMAAA.... haijarishi Baba Mwenye Nyumba anakudai Kodi kiasi Gani, Haijarishi Muda huu huna hata Elfu 50 ya Akiba ndani... Haijarishi hujala Bado...Haijarishi umri umeenda ila bado upo nyumbani , haijarishi unaendesha maisha kwa kubet.... Wakuu Utumishi Watawapa Tobo la Asari ..... Kikubwa upo Database Basi Jihesabie Ni KAMA STRICKER NDANI YA BOX LA PENALTY MUDA WOWOTE ,DAKIKA YOYOTE ,SAA YOYOTE BASI REFA ANAWEZA FUNIKA KWENYE BOX LA PENALTY ...yani ni hiviii Usikute Pdf inayofuata ndio Yenye JINA LAKO✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…