Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Natafuta hela niende kuwaloga, January hawatakuwa bot,salama na boss wake Kennedy,mark my words🙏hahah subiri season 2 ya mkandano urevenge..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta hela niende kuwaloga, January hawatakuwa bot,salama na boss wake Kennedy,mark my words🙏hahah subiri season 2 ya mkandano urevenge..
Toka nikandwe UTUMISHI akili zilirukaNatafuta hela niende kuwaloga, January hawatakuwa bot,salama na boss wake Kennedy,mark my words[emoji120]
ila bora BOT mnakandwa ila mnapewa chai nzito ikiwezekana hata lunch huko utumishi unakandwa hupewi hata maji ya kunywa hebu imagine hasira zake.. 🤣 🤣Natafuta hela niende kuwaloga, January hawatakuwa bot,salama na boss wake Kennedy,mark my words🙏
Relax tu..ila ulichobug n ile additional question yakoNatafuta hela niende kuwaloga, January hawatakuwa bot,salama na boss wake Kennedy,mark my words[emoji120]
Hahahaaa na lile baridi lake pale na uo upepo, afu bado unakandwa 😃😃😃ila bora BOT mnakandwa ila mnapewa chai nzito ikiwezekana hata lunch huko utumishi unakandwa hupewi hata maji ya kunywa hebu imagine hasira zake.. 🤣 🤣
Ww wamekutumia!!?Muwe na kawaida ya kufua email pia. Usikute nawao wanatuma majibu kwa email kama TRA
Mi nipo Asalini ndugu yangu, ila uo ni ushauri tu sio ugomviWw wamekutumia!!?
yaani sio poa alafu mtu unaondoka kama ulivyokuja yaani serikali yetu kweli haina huruma.wangekua wanarudisha hata nusu ya nauli kama hilo linashindikana hata lunch bas mtu unakula zako sahani tatu za wali unaondoka zako angalau maumiv yanapungua. 🤣 🤣Hahahaaa na lile baridi lake pale na uo upepo, afu bado unakandwa 😃😃😃
Lakini si wana kimgahawa chao paleyaani sio poa alafu mtu unaondoka kama ulivyokuja yaani serikali yetu kweli haina huruma.wangekua wanarudisha hata nusu ya nauli kama hilo linashindikana hata lunch bas mtu unakula zako sahani tatu za wali unaondoka zako angalau maumiv yanapungua. [emoji1787] [emoji1787]
🤣 🤣 🤣 aisee..
sawa kimgahawa kipo ila kiubinadamu wanatakiwa waweke bufee special kwaajili ya wakandwaji.Lakini si wana kimgahawa chao pale
Mkuu vipi MDA za november bado badooo sis wazee wa tehamaJamani Hakuna pdf ambayo inaandaliwa ,Pdf zote zipo Mkononi yani ready handed ....Nachoona labda watu wa masijara ndio hawajawapa Go ahead kuwa barua zote za wahusika tayari zimeshasainiwa na Katibu. Ila PDF zote tayari .... Nasisitiza hata likitoka leo ukienda kuchukua barua usikute barua yako usishangae ukaona ilisainiwa mwezi wa 10 .... So tuendelee kuwa watulivu...Kila aliyepo Database atapata kazii... Pdf inayokuja ina Zaidi ya watu 40... na ambazo zinatakiwa zitoke week hii ni 2 ... Na kuna pdf ya Tarehe 11-23 (kuna pdf ya MDA wa mwezi wa kumi). Nasisitiza Taasisi zote ni Asali Zile nzito ambazo ukipewa unakutana na nyuki au mabawa yao it means haijachakachuliwa....
MREJESHO.
Wakuu nilikuwa nimeshataka kukata tamaa Ila Mungu anatuwazia mema kila wakati,
Nimebahatika kuchomoka kwenye database .
#This is December to remember.
Ndio hizo zitatoka between (11-23) ambazo zitakuwa na watu wa Tehama wengi wengi si habaMkuu vipi MDA za november bado badooo sis wazee wa tehama
IT wetu mwingine wa mchongo innojembe hataki kutoa ushirikiano sjui kimemkuta kitu gan..??Jamani Hakuna pdf ambayo inaandaliwa ,Pdf zote zipo Mkononi yani ready handed ....Nachoona labda watu wa masijara ndio hawajawapa Go ahead kuwa barua zote za wahusika tayari zimeshasainiwa na Katibu. Ila PDF zote tayari .... Nasisitiza hata likitoka leo ukienda kuchukua barua usikute barua yako usishangae ukaona ilisainiwa mwezi wa 10 .... So tuendelee kuwa watulivu...Kila aliyepo Database atapata kazii... Pdf inayokuja ina Zaidi ya watu 40... na ambazo zinatakiwa zitoke week hii ni 2 ... Na kuna pdf ya Tarehe 11-23 (kuna pdf ya MDA wa mwezi wa kumi). Nasisitiza Taasisi zote ni Asali Zile nzito ambazo ukipewa unakutana na nyuki au mabawa yao it means haijachakachuliwa....