Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hahah subiri season 2 ya mkandano urevenge..
Natafuta hela niende kuwaloga, January hawatakuwa bot,salama na boss wake Kennedy,mark my words🙏
 
Attachments

  • IMG_20230830_102725_014.jpg
    IMG_20230830_102725_014.jpg
    867.9 KB · Views: 7
Hahahaaa na lile baridi lake pale na uo upepo, afu bado unakandwa 😃😃😃
yaani sio poa alafu mtu unaondoka kama ulivyokuja yaani serikali yetu kweli haina huruma.wangekua wanarudisha hata nusu ya nauli kama hilo linashindikana hata lunch bas mtu unakula zako sahani tatu za wali unaondoka zako angalau maumiv yanapungua. 🤣 🤣
 
yaani sio poa alafu mtu unaondoka kama ulivyokuja yaani serikali yetu kweli haina huruma.wangekua wanarudisha hata nusu ya nauli kama hilo linashindikana hata lunch bas mtu unakula zako sahani tatu za wali unaondoka zako angalau maumiv yanapungua. [emoji1787] [emoji1787]
Lakini si wana kimgahawa chao pale
 
Jamani Hakuna pdf ambayo inaandaliwa ,Pdf zote zipo Mkononi yani ready handed ....Nachoona labda watu wa masijara ndio hawajawapa Go ahead kuwa barua zote za wahusika tayari zimeshasainiwa na Katibu. Ila PDF zote tayari .... Nasisitiza hata likitoka leo ukienda kuchukua barua usikute barua yako usishangae ukaona ilisainiwa mwezi wa 10 .... So tuendelee kuwa watulivu...Kila aliyepo Database atapata kazii... Pdf inayokuja ina Zaidi ya watu 40... na ambazo zinatakiwa zitoke week hii ni 2 ... Na kuna pdf ya Tarehe 11-23 (kuna pdf ya MDA wa mwezi wa kumi). Nasisitiza Taasisi zote ni Asali Zile nzito ambazo ukipewa unakutana na nyuki au mabawa yao it means haijachakachuliwa....
 
Mkuu vipi MDA za november bado badooo sis wazee wa tehama
 
MREJESHO.

Wakuu nilikuwa nimeshataka kukata tamaa Ila Mungu anatuwazia mema kila wakati,

Nimebahatika kuchomoka kwenye database .

#This is December to remember.

Hongera sana mkuu👊👊
Nakutakia mafanikio katika kazi yako, kafanye kazi kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia katende haki.

Pia, kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo kwan haikuwa rahisi mpaka kufika hapo.
 
Jamani Hakuna pdf ambayo inaandaliwa ,Pdf zote zipo Mkononi yani ready handed ....Nachoona labda watu wa masijara ndio hawajawapa Go ahead kuwa barua zote za wahusika tayari zimeshasainiwa na Katibu. Ila PDF zote tayari .... Nasisitiza hata likitoka leo ukienda kuchukua barua usikute barua yako usishangae ukaona ilisainiwa mwezi wa 10 .... So tuendelee kuwa watulivu...Kila aliyepo Database atapata kazii... Pdf inayokuja ina Zaidi ya watu 40... na ambazo zinatakiwa zitoke week hii ni 2 ... Na kuna pdf ya Tarehe 11-23 (kuna pdf ya MDA wa mwezi wa kumi). Nasisitiza Taasisi zote ni Asali Zile nzito ambazo ukipewa unakutana na nyuki au mabawa yao it means haijachakachuliwa....
IT wetu mwingine wa mchongo innojembe hataki kutoa ushirikiano sjui kimemkuta kitu gan..??
 
Back
Top Bottom