Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Mkuu nimekucheki PM.Amen
Ukishapata kazi ndo unatakiwa utoe taarifa not otherwise aiseeunanikumbusha interview moja hiv nilienda dodoma nikawatangazia wazazi pamoja na majirani nikakandwa kwenye Written tu hata prac sijafikq nikazima simu. 😂 😂 😂
Ila kutafuta kazi ni kazi aisee😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16] kukandwa plus mawazo ya nauli ukute ulikopa dadeq lzma uzme simu
😂😂HuvukiDaa mimi nilikandwa interview ya kwanza tuu hata sikuingia oral, ila jmos tena nimkeua shortlisted kwenda written tena MUNGU anifanyie wepesi nivuke hatua inayofatia! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sio lazima kusema hata ukipata kazi ...Waacha waone siku una driveUkishapata kazi ndo unatakiwa utoe taarifa not otherwise aisee
[emoji1787][emoji1787]Alinilazimisha kuuliza swali la ziada,nikamjibu ,nope ,no question, akaendelea kufosi kunihoji, still nikamjibu nope
Aliponiuliza Mara ya tatu nikaona anazingua,
Nikamwuliza; what's your name?
Akanijibu;Am Mr Kennedy
Nikamwuliza Tena?are you married?[emoji1787]
Akapigwa butwaa[emoji23][emoji23]
Panel yote ikaangua kicheko.
Nope
Ye alianza na mzaha kuniuluza maana ya jina langu,nikamjibu,Ila akawa anajidai haelewi,zaidi ya dk 5
So nilipopata chance ,nami nikamkanda ,[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Huvuki
Usiende,Wana watu wao trust me
Usipoteze hela zako
Matakataka yao yaliyefeli ndo yatawapa
ngoja machawa wa kizimkazi wakuskie😂😂hili linchi hata darasa la Saba analiongoza .
Kuwa shortlisted pia ni moja ya hatua ya kufaulu, acha niende tuu hamna kukata tama.Hapana, tusikate Tamaa
Ipo siku yetu tu. Ukiitwa nashauri uende kufanya interview
A country full of idiots[emoji23][emoji23]hili linchi hata darasa la Saba analiongoza .
Hahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uyu IT wetu wa mchongo humu ailitulisha matango pori watu tumejiunga bando tumeishia kuangalia mambo yasiyompendza mungu [emoji1787] [emoji1787]
nadhan watu hawaamin email ila mpaka ijumaa jion tutegemee shuhuda zaidHiyo interview ya TRA hamna means JF mwenye ushuhuda?au hatuamini Email
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilikuwa utumishi au Bot hii!?
🤣🤣Acha kujisumbua fanya biashara zako🙏nadhan watu hawaamin email ila mpaka ijumaa jion tutegemee shuhuda zaid
Kwani uongo?ngoja machawa wa kizimkazi wakuskie