Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daa mimi nilikandwa interview ya kwanza tuu hata sikuingia oral, ila jmos tena nimkeua shortlisted kwenda written tena MUNGU anifanyie wepesi nivuke hatua inayofatia! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
😂😂Huvuki
Usiende,Wana watu wao trust me
Usipoteze hela zako
Matakataka yao yaliyefeli ndo yatawapa
 
[emoji1787][emoji1787]Alinilazimisha kuuliza swali la ziada,nikamjibu ,nope ,no question, akaendelea kufosi kunihoji, still nikamjibu nope
Aliponiuliza Mara ya tatu nikaona anazingua,
Nikamwuliza; what's your name?
Akanijibu;Am Mr Kennedy
Nikamwuliza Tena?are you married?[emoji1787]
Akapigwa butwaa[emoji23][emoji23]
Panel yote ikaangua kicheko.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilikuwa utumishi au Bot hii!?
 
Back
Top Bottom