ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Utumishi hawanaga mzaha wakisema kiwe hivi ni hakuna mjadala utachoma nauli na hutafsnya interviewAsanteeee bro wangu pekee uliensanua habari za affidavit maana naona watu wametoka mbeya na wamerudishwa[emoji23][emoji23]
Utumishi hawanaga mzaha wakisema kiwe hivi ni hakuna mjadala utachoma nauli na hutafsnya interview
Vipi idadi ya mlioomba na waliotokea kwenye interview? Maana sku izi Kuna ugonjwa wa kutokwenda kweny interviewWatu walikutana na za uso mpka unaingiwa na huruma
Vipi idadi ya mlioomba na waliotokea kwenye interview? Maana sku izi Kuna ugonjwa wa kutokwenda kweny interview
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikua 26 tuliofika oral 17
Hongera mkuuInshort ambao hawa kufika kwenye usaili kwa kada yetu nahisi ni wa 4 au wa5 kama sjasahau
Boss haya maelezo bila Screenshoot ni Batiri, Kuitwa tu interview ulipiga hadi kelele ukasema Siamini wakuu.... Leo uiende hadi Oral ule moto wa furaha ukate ghafra,??🤣🤣 ....Uende Shoppers sijui Mall?? Boss lete screenshoot isiyo na shaks kuhusu kuwa selected for Orall Mimi hapa na left JF.😀....Unaacha kusema ukweli tukusaidie wenzio wanaenda na spirit Gani .... Wewe unadanganya ili kufurahisha nafsi yako....Ndyo kujaribu sio dhambi na kwenda na matokeo yako ndo shida haswaaaa kikubwa ni kumuamini MUNGU na maandalizi mazuri kabla ya usaili hii ni kusoma na kukifanyia kazi kila kitu cha muhimu kwenye kada yako pili ni kuwauliza wazoefu vitu vya muhimu vya kuvifatilia hapo unakua umemaliza sasa kama bahati ni yako itakuja
Boss haya maelezo bila Screenshoot ni Batiri, Kuitwa tu interview ulipiga hadi kelele ukasema Siamini wakuu.... Leo uiende hadi Oral ule moto wa furaha ukate ghafra,??[emoji1787][emoji1787] ....Uende Shoppers sijui Mall?? Boss lete screenshoot isiyo na shaks kuhusu kuwa selected for Orall Mimi hapa na left JF.[emoji3]....Unaacha kusema ukweli tukusaidie wenzio wanaenda na spirit Gani .... Wewe unadanganya ili kufurahisha nafsi yako....
Yani utumishi muende 26 Wapite 17... It means wawakande Watu 9 tuu... Basi hao sio utumishi.
So boss tuna wait Screenshot ili nileft cz niliahidi.
Boss haya maelezo bila Screenshoot ni Batiri, Kuitwa tu interview ulipiga hadi kelele ukasema Siamini wakuu.... Leo uiende hadi Oral ule moto wa furaha ukate ghafra,??[emoji1787][emoji1787] ....Uende Shoppers sijui Mall?? Boss lete screenshoot isiyo na shaks kuhusu kuwa selected for Orall Mimi hapa na left JF.[emoji3]....Unaacha kusema ukweli tukusaidie wenzio wanaenda na spirit Gani .... Wewe unadanganya ili kufurahisha nafsi yako....
Yani utumishi muende 26 Wapite 17... It means wawakande Watu 9 tuu... Basi hao sio utumishi.
So boss tuna wait Screenshot ili nileft cz niliahidi.
Boss mimi nitakuwa mtu wa mwisho kukuamini...View attachment 2835180
View attachment 2835181
Mfa maji haishi kutapatapa ndo ujue mimi kipindi nauliza halikuwa wengé la kazi Bali nilikua nataka nujifunza kazi ninayo ambayo inanifanya niweke Bando la mia 5 japo sijapata kazi ya kiendesha maisha yangu kwa kiasi cha kuweka GB 1 kwa siku kwahyo sehemu ya kumsaidia mtu msaidie no matter what is hatujuani ila tunaweza kusaidiana....All in all ukimya wangu ndo umewasumbua wengi
Boss mimi nitakuwa mtu wa mwisho kukuamini...
Ajibu wapi?🤣🤣Wewe ulikuwa mkorofi! Reaction ya Mr. Kenedy ilikuwaje alijibu
Innojembe kwanza acha na huyu jamaa anitwa sijui IT mpiga ramli tu wala hada link information yeyote ya psrs.Na Mimi siko hapa kumuaminisha mtu asiyeijua safari na chimbuko langu[emoji419][emoji1488] PSRS wanaofisi kwaajiri ya kukupa imani unayotaka uwe wa kwanza kuipata na Documents zote wamebaki nazo pale
Innojembe kwanza acha na huyu jamaa anitwa sijui IT mpiga ramli tu wala hada link information yeyote ya psrs.
Jamaa ni Muongo balaa.
Ana chuki na maendeleo ya mtu.
Kitendo cha kutolukuamini kama wewe umefaulu kinaonyesha jamaa ana amini kabisa wewe ni kilaza au hauna sifa za kuajiliwa
Kwanza hongera sana, sijui ni sababu ya umri wangu au vipi? Sasa tulia umalizie kabisa ungwe ya mwisho maana uharibifu hutokea zaidi mwishoni. Ukishinda ndio utampelekesha mtesi wako utakavyo.Binadamu wote hatuko sawa Mimi anitetereshi uyo na wala simchukii wala simzingatii naona ni kama alikuja kuipamba safari ya mafanikio yangu iwe na ka story kafupi ambako atakuwemo ndani umo
Kwanza hongera sana, sijui ni sababu ya umri wangu au vipi? Sasa tulia umalizie kabisa ungwe ya mwisho maana uharibifu hutokea zaidi mwishoni. Ukishinda ndio utampelekesha mtesi wako utakavyo.
Uwe na asubuhi njema.
Hizi ni za mkatabaUtumishi kwishaa habarii yaoo....ni jambo jema psrs kupunguziwa majukumu....mama anaupiga mwingii
Kwani utumishi hawasaili mkatabaa?Hizi ni za mkataba