Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

ila web pamenuna vibaya yaani ukifungua unakutana na cheche tu watu wanachomelea vyuma mara mwingine anapuliza rangi 🀣 🀣
 
..........Nipo na IT hapa, Anauliza atupie mzigo au asubiri kwanza tumalize msiba wa Manyara?
 
..........Nipo na IT hapa, Anauliza atupie mzigo au asubiri kwanza tumalize msiba wa Manyara?
Mwambie atupie tu, maana ule msiba hauishi still kuna watu hawaonekani walipo, Mungu awafariji sana ndugu zetu wa hanang
 
hawa jamaa bana yaan sisi tunataka pdf wenyewe wanatuwekea mafundi welding na wapuliza rangi 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…