Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michezo ndio inafanyika hapo sasa kupachikanaTRA walikuwa vzur kwenye process zote basi tu sijui kwa nn kwenye kuita watu kazin wameamua kufanya hv
Psrs ndo mkombozi wetu wanyongeVijana niliwaambia kuwa taasisi kuajiri wenyewe kama wewe ni mtoto wa mkulima jembe la mkono utasubiri sana. TRA kiko wapi?
Watu wameitwa kwa email kuripoti leo kimya kimya. Interview wameitwa kwa pdf, practical kwa pdf, oral kwa pdf, placement kwa EMAIL.
Madogo walioingia top ten written na Practical hawajapata EMAIL inamaana walifeli Oral? Hahahaaa!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki PSRS
Inauma sana mkuuVijana niliwaambia kuwa taasisi kuajiri wenyewe kama wewe ni mtoto wa mkulima jembe la mkono utasubiri sana. TRA kiko wapi?
Watu wameitwa kwa email kuripoti leo kimya kimya. Interview wameitwa kwa pdf, practical kwa pdf, oral kwa pdf, placement kwa EMAIL.
Madogo walioingia top ten written na Practical hawajapata EMAIL inamaana walifeli Oral? Hahahaaa!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki PSRS
Umepotelea wapi sasa?! toka saa 7 haututonyi😂Niwatonye au Nisiwatonye?
Process imefanyika kwa umakini wa hali ya juu, hasa hatua ya Oral, haiweze kuisha kwa namna ile ya e-mail tu.TRA walikuwa vzur kwenye process zote basi tu sijui kwa nn kwenye kuita watu kazin wameamua kufanya hv
TRA hakuna unyeti wowote kusema kwamba wakiita watu kwa Pdf kuna siri za serikali zitavuja. Hapa kuna kitu kikubwa kimefichwa na nina wasiwasi kuna watu hata interview hawajafanya ila wameitwa sasa ili ibaki kuwa siri ndio hapo kwenye email. Lakini tunapoelekea sasa hakuna wa kumkaripia mwenzake acha bora liendeInauma sana mkuu
NdioWw umewahi kufanya kazi serikalini za mkataba?
Wanafanya siri kama kazi za usalama wa taifaProcess imefanyika kwa umakini wa hali ya juu, hasa hatua ya Oral, haiweze kuisha kwa namna ile ya e-mail tu.
Bora picha yake waitoe tu maana akiiona itakuwa inamchoma sanaInasemekana yule jamaa anaechomelea picha amepigwa na kukandwa amekandwa kwenye ile practical
We jamaa upo ?Process imefanyika kwa umakini wa hali ya juu, hasa hatua ya Oral, haiweze kuisha kwa namna ile ya e-mail tu.
Nipo mkuu, bado sijalamba asali.We jamaa upo ?
Umepotea sana humu ,kitambo sana vipi ushalamba asali nini ?
Nakumbuka enzi za akina Kyagata na wenzake wale , mlikuwa mbaburuzana humu , jobless ngumi mkononi
Full makasiriko , ila huu uzi jobless wengi wamelamba asali aisee
Malegend wamekimbia wengi humu kabaki @Mwifa ndio huwa anaingia mara kwa mara huku
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaniii daah hali n tetehao utumishi ni mbwa koko..
nasema hivi utumishi ni manyumbuutumishi hawanahata aibu wametulia utazan hawakuwafanyia watu usaili.. 🤣 🤣
Braza kuwa na utulivu.nasema hivi utumishi ni manyumbu
Braza kuwa na utulivu.
Fanya maombi sana kutoboa psrs sio rahisi kihivyo wengine imewachukua 10 years kuona jina kwenye Pdf.
hawa utumishi watakuja kutuulia majoblessnasema hivi utumishi ni manyumbu