Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyo innojembe Fundi AC ...aisee utumishi nimewashangaa Sana... Yani watu wameenda kufanya usaili 17 .... Then wote wamefauru .....

Paper hawakuanza written wameanza na practical ..Mtu wa kwanza Ana 95... Inno ana 6 na plus...thh utumishi wamewachukua wote kwenda Oral...

Sasa hapo kitechnical unajua kabisa ka fail... [emoji1787]....

Pia kuna swala jengine utumishi wanalifanyia kazi.

Scenario; mfano.
Kada ya Cdo/ Afisa mifugo/ mhasibu etc.

Mtahiniwa A written ana 90.
Mtahiniwa B written ana 56.

Oral :
Mtahiniwa A na 57.
Mtahiniwa B ana 60.

Hapa kwa sheria za sasa hivi mtahiniwa B atapata kazi c kafauru Oral . But ukiangalia scenario unaona kabisa Mtu mwenye uwezo hapo ni nani.

So tulipendekeza utumishi majibu ya Writen na oral ...yajumlishwe utafute wastani.... Cz yote ni part ya usahili...

Kuangalia Oral tu , sasa kufanya written ilikuwa na namna gani.

[emoji23][emoji23][emoji23]MFA MAJI kadandia kipande cha gogo sasa
We Mimi uniwezi [emoji847] endelea kubabia izo pdf za placement vita na mimi ni ngumu,USISHINDANE NA ALIENAMUNGU
#IT_unaleft_lini!?
 
Nakuamini sana IT wetu
Thn utumishi wanakuwaga wanaangalia humu kuna siku niliwaambia kuna mkeka , unatoka leo kabla ya saa kumi Aaahh IT baada ya kuona akasema huyu Boya kajuaje... Basi bwana saa kumi ikapita hola kuna wadau wakaanza ooh wewe boya muongo ... Mbona hamna kitu sasa mimi nikajua tu...Watu wa Utumishi wameona hii post But nikawa nawahakikishia lazima utoke cz tayari katibu alitoa Go ahead basi IT akakaa akajifikiria Basi akauachia mida ya Saa Moja jioni watu weweeeee.....

Sasa hata hizo za MDA & LGA ...nilisema week mbili kabla kuwa zitatoka tarehe 11-23 na hiyo ni lazima ni must yani
 
Huyo Fundi AC amefail... Wewe tangia mwaka umeanza eti ....Mnaenda fanya usaili alafu watu wote mnakuwa selected for Oral... wamemfariji tuuu ....[emoji1787]

Mwanzo ilikua sitoboi WRITTEN baadae ukataka SCREENSHOT baadae ukasema uziamini SCREENSHOT baadae ukasema uwaelewi UTUMISHI sasaivi unasema WANANIFARIJI[emoji23][emoji23][emoji23]baadae utakuja useme NTAFUKUZWA KAZI[emoji1430][emoji1430]na baadae najua utakuja kuniomba USHAURI jinsi ya kutoboa izi inshu maana naona umeenda kwenye update news ukachimba sanaaa kujua interview yetu iliendaje [emoji23][emoji23]na umetoka na majibu ya kubabia kama unavobabia placement
#IT_una_LEFT_LINI?
 
Wewe Fundi AC hebu tulia basi kidogo... Tuna discuss Important issues Tutakurudia
 
Sawa ni Mganga Njaa naomba kuanzia tarehe 11 zisipotoka placement za watu wa MDA & LGA + za wale wa Tehama... Uje u prove wrong.... Leo ni tarehe 9....

Hesabu from Monday ya tarehe 11... Nakugangia njaa since tarehe 1 Dec nawaambia kuwa watu wa MDA placement ni from tarehe 11 mimi nilijuaje??
Pdf kutoka ni kitu cha kawaida sio kisa wewe umesema kuanzia tarhe.zinatoka basi tukuamini.

Watu wamefanya interview so lazima pdf zitoke tu wala haihitaji utabiri

Mara ngapi umesema pdf zinatoka leo na haijawaha hivyo
 
Mkuu nilisema pdf za MDA & LGA watu wawe na subira from tarehe 11... Sasa basi si kuna watu wengi wamefanya interview Taasisi tofauti kama sina za ndani nina hakika Gani zitoke za MDA na sio taasisi nyengine?? ... Na watu wa Tehama mjiandae mtatoka wengiiii kwenye kila pdf lazima muwemo bandika bandua ... Kuanzia 11-23
 
Pdf kutoka ni kitu cha kawaida sio kisa wewe umesema kuanzia tarhe.zinatoka basi tukuamini.

Watu wamefanya interview so lazima pdf zitoke tu wala haihitaji utabiri

Mara ngapi umesema pdf zinatoka leo na haijawaha hivyo
Mkuu nilisema pdf za MDA & LGA watu wawe na subira from tarehe 11... Sasa basi si kuna watu wengi wamefanya interview Taasisi tofauti kama sina za ndani nina hakika Gani zitoke za MDA na sio taasisi nyengine?? ... Na watu wa Tehama mjiandae mtatoka wengiiii kwenye kila pdf lazima muwemo bandika bandua ... Kuanzia
Pdf kutoka ni kitu cha kawaida sio kisa wewe umesema kuanzia tarhe.zinatoka basi tukuamini.

Watu wamefanya interview so lazima pdf zitoke tu wala haihitaji utabiri

Mara ngapi umesema pdf zinatoka leo na haijawaha hivyo
Naomba nikuulize nikisema leo Pdf lazima ,iwe jua iwe mvua hata tukiwekeana kidau thn ikatoka utaniamini au hutaniamini??
 
Huyo innojembe Fundi AC ...aisee utumishi nimewashangaa Sana... Yani watu wameenda kufanya usaili 17 .... Then wote wamefauru .....

Paper hawakuanza written wameanza na practical ..Mtu wa kwanza Ana 95... Inno ana 6 na plus...thh utumishi wamewachukua wote kwenda Oral...

Sasa hapo kitechnical unajua kabisa ka fail... 🤣....

Pia kuna swala jengine utumishi wanalifanyia kazi.

Scenario; mfano.
Kada ya Cdo/ Afisa mifugo/ mhasibu etc.

Mtahiniwa A written ana 90.
Mtahiniwa B written ana 56.

Oral :
Mtahiniwa A na 57.
Mtahiniwa B ana 60.

Hapa kwa sheria za sasa hivi mtahiniwa B atapata kazi c kafauru Oral . But ukiangalia scenario unaona kabisa Mtu mwenye uwezo hapo ni nani.

So tulipendekeza utumishi majibu ya Writen na oral ...yajumlishwe utafute wastani.... Cz yote ni part ya usahili...

Kuangalia Oral tu , sasa kufanya written ilikuwa na namna gani.
Kwanini watafute wastani wa Oral na written, unajua lengo la written interview ni nini?
 
Pdf kutoka ni kitu cha kawaida sio kisa wewe umesema kuanzia tarhe.zinatoka basi tukuamini.

Watu wamefanya interview so lazima pdf zitoke tu wala haihitaji utabiri

Mara ngapi umesema pdf zinatoka leo na haijawaha hivyo
Unajua Wahenga walisema Usidharau Mtu ambaye humjui, Ulikuwa unajua wanamaanisha nini??
 
Kwanini watafute wastani wa Oral na written, unajua lengo la written interview ni nini?
Lengo la Written ni Mchujo... But huo mchujo Mbona ukipata 49 unaachwa thn atachukuliwa aliyefika cutting point.... So wewe umepata let say 50 mwenzio kapata 98... Thn mkienda Oral zile hazihesabiki so nauliza Written ni interview au sio interview kama sio kwann asiyefikisha mark haendi oral??

Kwann wasiandike Usaili wa mchujo, waandike usaili wa kuandika??
 
Unajua Wahenga walisema Usidharau Mtu ambaye humjui, Ulikuwa unajua wanamaanisha nini??

Leo ndo umejua usidharau mtu usiyemjua,[emoji23]yamekushika, mimi naona si lazma kufanya kama unajua kila kitu haina ulazima kama unauwakika na unachosema basi we sema tarehe Fulani zitatolewa PDF... au unatafuta sifa za watu kukukubali wewe ni mwamba[emoji23][emoji23] sasa kuanzia tarehe 11-23 iyo si almost two week’s na ni lazima pdf itatoka hapo Kati
 
Wewe Fundi AC hiyo issue sijaisema leo...Rudia Potst nlisea since tarehe 1 kuwa mikeka ya MDA & LGA tarehe 11 ndio itaanza kutoka....

Mkuu haiwezekani Mwenzio ana 95 wewe, una 60+ useme umefauru... Yani hata ukienda kuonyesa kwenu watacheka... 🤣 Inshort hawezi subiria placement
 
Lengo la Written ni Mchujo... But huo mchujo Mbona ukipata 49 unaachwa thn atachukuliwa aliyefika cutting point.... So wewe umepata let say 50 mwenzio kapata 98... Thn mkienda Oral zile hazihesabiki so nauliza Written ni interview au sio interview kama sio kwann asiyefikisha mark haendi oral??

Kwann wasiandike Usaili wa mchujo, waandike usaili wa kuandika??

Uwelewa wako unazani interview ni kushindana..Lengo la interview ni wahitaji (muajiri wa authorized employer management) kuangalia ni yupi anaestahili kwa vigezo vyao kwahyo kila aliepenya ORAL tiyari anazo sifa za kuwa kwenye kazi hiyo kwahyo pale unaenda mchujo mwingne pia sasa kama WRITTEN ndo unazani inabeba kila ulichosoma kwenye BACHELOR au degree yako basi umefeli it’s something like to looking for a person who is real study for that field [emoji2095][emoji847] and stuff like that
 
Lengo la Written ni Mchujo... But huo mchujo Mbona ukipata 49 unaachwa thn atachukuliwa aliyefika cutting point.... So wewe umepata let say 50 mwenzio kapata 98... Thn mkienda Oral zile hazihesabiki so nauliza Written ni interview au sio interview kama sio kwann asiyefikisha mark haendi oral??

Kwann wasiandike Usaili wa mchujo, waandike usaili wa kuandika??
Pitia vizuri kanuni zina majibu mazuri ya haya maswali yako mkuu wa kazi.

...........Happy Indepence Day.
 
Wewe Fundi AC hiyo issue sijaisema leo...Rudia Potst nlisea since tarehe 1 kuwa mikeka ya MDA & LGA tarehe 11 ndio itaanza kutoka....

Mkuu haiwezekani Mwenzio ana 95 wewe, una 60+ useme umefauru... Yani hata ukienda kuonyesa kwenu watacheka... [emoji1787] Inshort hawezi subiria placement

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bahati nzuri sio mtu wa kujimwamba fai na kwenye fani yangu sijaanza kazi leo na kwenye elimu yangu sijaanza kufanya mitihani leo na kwenye historia yangu sijaanza kufanya kazi za mikono jana au juzi kwahyo kaa makini na hyo 95 bro usije ukakosa ubaridi theater siku umeenda kujifungua hiyo mimba yako ya chuki
#IT_unaleft_lini?
 
Leo ndo umejua usidharau mtu usiyemjua,[emoji23]yamekushika, mimi naona si lazma kufanya kama unajua kila kitu haina ulazima kama unauwakika na unachosema basi we sema tarehe Fulani zitatolewa PDF... au unatafuta sifa za watu kukukubali wewe ni mwamba[emoji23][emoji23] sasa kuanzia tarehe 11-23 iyo si almost two week’s na ni lazima pdf itatoka hapo Kati
Nakwambia in Between kwa sababu.... Yule anayeweka Mkeka... Huwaga aatembea na flash yani anaweza upload hata akiwa kwake...but angekuwa anafanya Vyote officn ... Kama siku ile nilivyosema leo kabla ya saa 10 anato Mkeka cz alikuwa anauopost kutokea offcn.... Sasa basi ikifika siku ya kutoa mkeka akiwa ofcn nawaambia na muda
 
Pitia vizuri kanuni zina majibu mazuri ya haya maswali yako mkuu wa kazi.

...........Happy Indepence Day.

[emoji1430]jamaa na yeye utasikia anakwambia pitia vizuri maelekezo Yao afu badae anakwambia mkeka wa placement unatoka siku flani apo ndo utajiuliza izo pdf anazitoaga wapi kama ye mwenyew anazipitia izo kanuni za hao jamaa
 
Back
Top Bottom