Mkuu naomba ikifika kesho saa Sita na Dkk 15... Itoe hiyo screenshoot nimekutumia ...ya swali uliloniuliza kuhusu leo placement ipo au haipo.
Maana kuna mjomba ,amesema kabisa enh unabahatisha sijui mtu ukifanya interview lazima placement itoke nyieee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. Hivi
Ujinga mtupu unajua kuna watu wana miaka hata 2 now walifanya usaili wa Taasisi fulani hiyo taasisi mpka leo hakuna aliyeitwa. hata mmoja. Na hakuna tangazo kama ule usaili ulifutwa??? [emoji1787][emoji1787]
Thn unaleta hoja dhaifu eti kama mtu kafanya interview lazima majibu yaje [emoji1787]...
Huyu fundi AC na Mafridge Mabovu anasema ooohh eti mimi nabahatisha kusema Pdf zinatoka lini, Mkuu Bahatisha na wewe M....f.....N.