Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Psrs ndo mkombozi wetu wanyonge
 
Inauma sana mkuu
 
TRA walikuwa vzur kwenye process zote basi tu sijui kwa nn kwenye kuita watu kazin wameamua kufanya hv
Process imefanyika kwa umakini wa hali ya juu, hasa hatua ya Oral, haiweze kuisha kwa namna ile ya e-mail tu.
 
Inauma sana mkuu
TRA hakuna unyeti wowote kusema kwamba wakiita watu kwa Pdf kuna siri za serikali zitavuja. Hapa kuna kitu kikubwa kimefichwa na nina wasiwasi kuna watu hata interview hawajafanya ila wameitwa sasa ili ibaki kuwa siri ndio hapo kwenye email. Lakini tunapoelekea sasa hakuna wa kumkaripia mwenzake acha bora liende
 
Process imefanyika kwa umakini wa hali ya juu, hasa hatua ya Oral, haiweze kuisha kwa namna ile ya e-mail tu.
We jamaa upo ?
Umepotea sana humu ,kitambo sana vipi ushalamba asali nini ?
Nakumbuka enzi za akina Kyagata na wenzake wale , mlikuwa mbaburuzana humu , jobless ngumi mkononi
Full makasiriko , ila huu uzi jobless wengi wamelamba asali aisee
Malegend wamekimbia wengi humu kabaki @Mwifa ndio huwa anaingia mara kwa mara huku
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nipo mkuu, bado sijalamba asali.
Nimekua msomaji zaidi kwa sasa katika uzi huu, ipo generation mpya inauchangamsha uzi kwa namna yake kwa sasa.
 
Braza kuwa na utulivu.

Fanya maombi sana kutoboa psrs sio rahisi kihivyo wengine imewachukua 10 years kuona jina kwenye Pdf.

MTAJI wa JOBLESS ni elimu mimi naomba vyuo vifundishe hata vitu extra kama udalali,kubeti au hata vile vikozi vifupi vya veta vimixiwe kwenye haya makozi yetu ili mtu akitoka chuo asishindwe hata kufunga dish la Azam[emoji23] tofauti na ivo tutawalau PSRS tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…