Ww
Ww hujui kinachoendelea huko saiz, ajira hamna malumbano ni mengi kati ya taasisi na Psrs in short jamaa hawataki kupelekewa watu, wanataka kuajiri wenyewe waweke watu wao ss huwezi lazimisha kupeleka watu.Inshort saiz hamana kitu ndio maana unaona placement nyingi wanajazwa wampishi mafundi imeisha hiyo. Saiz hali ndio mbaya zaidYani Ukikaa Chini kila ukipiga Hesabu useme labda Taasisi Ndio zinachelewesha unaona kabisa hesabu hazibalance... Taasisi zinacheleweshaje wakati umeita hadi watu interview?? Ungeona kama bado hawaeleweki Kwann usinge mute na wewe ????
Bunge wanatangazaga ila wanasimamia wenyewe wakuu , Za Bunge watu wakitoka Oral hawamalizi miezi 2 washaitwa.