Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

🤣🤣🤣 we jamaa upo seriously kweli
amna kitu kama icho we tulia unaweza ukajibu maswali yote na ukafeli kuliko aliyejibu 4 mbona mie mwenzio nilijibu swali 1 tu la introduction lakin kila saa nachungulia placement na ninauhakika nitatoboa tu..
 
Una Bachelor Ya Mechanical Engineer Alafu huna ID hata Mmoja, Sasa Si bora uvichome Moto.... Unaitwa kazi za Bunge, Leo umetoka job Umepata sijui umeandika laki 2...

Sasa kazi moja ya laki 2, una uhakika kwa mwezi hukosi kazi 3 hadi 10... Sasa si bora utulie huko kuliko Kufata Mshahara wa TGSB... Unajua TGSB na makato makato ina rudi humo humo kwenye hela yako ya siku??

Maana wewe huna Per diem huna Safari, Safari uende wapi wakati mafridgi yapo humo humo.

Unajua mtu mpka anaitwa akafanye kazi Bunge hawezi lipwa elfu 39,000/=.

Mkuu ndio maana baada ya Bachelor ya mechanical nimejua kwann umerudi kusomea Ufundi Fridgi nishajua tatizo lipo wapi.
Si mtafutane in personal mzichape tu watoto wa kiume kurushiana maneno mitandaoni sio kabisa🚮
 
Back
Top Bottom