Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

FB_IMG_1702532184566.jpg
 
Hivi Utumishi Hawaoni Kama kuna ulazima wowote , Mtahiniwa Kujua Matokeo Yake Ya Oral....

Hata kama Sio kutoa Pdf ila kwenye Account yake aweze kujijua??

Kuna Sababu waliisema kuwa hawatoi matokeo ya Oral kwa sababu watu hawataenda Kwenye interview...
Eti kwa kuwa labda umeona Upo succffull Oral maybe umepata 70 . Thn automatically unajijua upo Database so hata zikitokea nafasi tena ww hutoenda. Ukisikilizia wakati wanataka wewe uende...

So ukiangalia huu, Muongozo ni wa hovyo cz asilimia 90 ni watoto wa wakulima kumtengezea huyu mtu mazingira ya kuhudhuria Interview hata kama yupo Database hawaoni kama , Ni kumuongezea huyu Kijana Gharama Maana hamna hamna gharama ya kukaa Dodoma siku 3. Ili usitweze utu wako uwe hata na Elfu 50.... Ukiachana na transport Cost.

✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅.

Mimi nafikiria matokeo ya Oral muhusika ni muhimu kuyajua ili Ajitathmini.... Unakuta Jamaa nyie Mnapiga Kelele Placement Kumbe Mna 39. Yani hampo hata ....Kazi kujimalizia Bundle na kuwapa watu tumaini mtaani kwako kuwa ulifika oral so upo database 😄
 
Unaongea sana, Unalalamika, Unatukana Unataka Placement

....Utumishi Jibu lao Moja Brother Una uhakika Ulifauru?.. 😄

So kumbe matokeo ya oral ndio muhimu kuliko hata kutaka placement.
 
Hivi Utumishi Hawaoni Kama kuna ulazima wowote , Mtahiniwa Kujua Matokeo Yake Ya Oral....

Hata kama Sio kutoa Pdf ila kwenye Account yake aweze kujijua??

Kuna Sababu waliisema kuwa hawatoi matokeo ya Oral kwa sababu watu hawataenda Kwenye interview...
Eti kwa kuwa labda umeona Upo succffull Oral maybe umepata 70 . Thn automatically unajijua upo Database so hata zikitokea nafasi tena ww hutoenda. Ukisikilizia wakati wanataka wewe uende...

So ukiangalia huu, Muongozo ni wa hovyo cz asilimia 90 ni watoto wa wakulima kumtengezea huyu mtu mazingira ya kuhudhuria Interview hata kama yupo Database hawaoni kama , Ni kumuongezea huyu Kijana Gharama Maana hamna hamna gharama ya kukaa Dodoma siku 3. Ili usitweze utu wako uwe hata na Elfu 50.... Ukiachana na transport Cost.

✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅.

Mimi nafikiria matokeo ya Oral muhusika ni muhimu kuyajua ili Ajitathmini.... Unakuta Jamaa nyie Mnapiga Kelele Placement Kumbe Mna 39. Yani hampo hata ....Kazi kujimalizia Bundle na kuwapa watu tumaini mtaani kwako kuwa ulifika oral so upo database 😄
Mimi nilishalalamika Sana kuhusu results za oral interview ziwekwe wazi , lakini mawakala was psrs wakawa wanapinga.

📌Bao la Maradona ndio linapo pitia hapo
 
Hivi Utumishi Hawaoni Kama kuna ulazima wowote , Mtahiniwa Kujua Matokeo Yake Ya Oral....

Hata kama Sio kutoa Pdf ila kwenye Account yake aweze kujijua??

Kuna Sababu waliisema kuwa hawatoi matokeo ya Oral kwa sababu watu hawataenda Kwenye interview...
Eti kwa kuwa labda umeona Upo succffull Oral maybe umepata 70 . Thn automatically unajijua upo Database so hata zikitokea nafasi tena ww hutoenda. Ukisikilizia wakati wanataka wewe uende...

So ukiangalia huu, Muongozo ni wa hovyo cz asilimia 90 ni watoto wa wakulima kumtengezea huyu mtu mazingira ya kuhudhuria Interview hata kama yupo Database hawaoni kama , Ni kumuongezea huyu Kijana Gharama Maana hamna hamna gharama ya kukaa Dodoma siku 3. Ili usitweze utu wako uwe hata na Elfu 50.... Ukiachana na transport Cost.

✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅.

Mimi nafikiria matokeo ya Oral muhusika ni muhimu kuyajua ili Ajitathmini.... Unakuta Jamaa nyie Mnapiga Kelele Placement Kumbe Mna 39. Yani hampo hata ....Kazi kujimalizia Bundle na kuwapa watu tumaini mtaani kwako kuwa ulifika oral so upo database 😄
yani wanataka watu wafanye inerview alafu placemebt hawatoi hawatoi.
 
Back
Top Bottom