Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ww
Yani Ukikaa Chini kila ukipiga Hesabu useme labda Taasisi Ndio zinachelewesha unaona kabisa hesabu hazibalance... Taasisi zinacheleweshaje wakati umeita hadi watu interview?? Ungeona kama bado hawaeleweki Kwann usinge mute na wewe ????

Bunge wanatangazaga ila wanasimamia wenyewe wakuu , Za Bunge watu wakitoka Oral hawamalizi miezi 2 washaitwa.
Ww hujui kinachoendelea huko saiz, ajira hamna malumbano ni mengi kati ya taasisi na Psrs in short jamaa hawataki kupelekewa watu, wanataka kuajiri wenyewe waweke watu wao ss huwezi lazimisha kupeleka watu.Inshort saiz hamana kitu ndio maana unaona placement nyingi wanajazwa wampishi mafundi imeisha hiyo. Saiz hali ndio mbaya zaid
 
Bila shaka mpo salama humu ndani.

Naomba ABC za walioitwa Asalini TRA kama haki ilitendeka japo kwa kuangalia picha(nimeziona kule Twitter, nina imani na ninyi mumeziona) na kubaini majobless wa ukweli sio wale wa mchongo.

Hata hivyo nawapongeza maana kuna majobless ambao ujobless wao ulikuwa umefubaa maana wamenawiri sana [emoji3][emoji3][emoji3](nisitafsiriwe vibaya, kunawiri sio dhambi), ukilingnisha na jobless wenye ujobless active
Zile picha ni balaa aisee
 
Ww

Ww hujui kinachoendelea huko saiz, ajira hamna malumbano ni mengi kati ya taasisi na Psrs in short jamaa hawataki kupelekewa watu, wanataka kuajiri wenyewe waweke watu wao ss huwezi lazimisha kupeleka watu.Inshort saiz hamana kitu ndio maana unaona placement nyingi wanajazwa wampishi mafundi imeisha hiyo. Saiz hali ndio mbaya zaid
Kmmke Kwa Hiyo Zile Nauli Zetu ???😭
 
Ww

Ww hujui kinachoendelea huko saiz, ajira hamna malumbano ni mengi kati ya taasisi na Psrs in short jamaa hawataki kupelekewa watu, wanataka kuajiri wenyewe waweke watu wao ss huwezi lazimisha kupeleka watu.Inshort saiz hamana kitu ndio maana unaona placement nyingi wanajazwa wampishi mafundi imeisha hiyo. Saiz hali ndio mbaya zaid
watoe tangazo sasa kuliko kuchomesha watu mahindi
 
Una Bachelor Ya Mechanical Engineer Alafu huna ID hata Mmoja, Sasa Si bora uvichome Moto.... Unaitwa kazi za Bunge, Leo umetoka job Umepata sijui umeandika laki 2...

Sasa kazi moja ya laki 2, una uhakika kwa mwezi hukosi kazi 3 hadi 10... Sasa si bora utulie huko kuliko Kufata Mshahara wa TGSB... Unajua TGSB na makato makato ina rudi humo humo kwenye hela yako ya siku??

Maana wewe huna Per diem huna Safari, Safari uende wapi wakati mafridgi yapo humo humo.

Unajua mtu mpka anaitwa akafanye kazi Bunge hawezi lipwa elfu 39,000/=.

Mkuu ndio maana baada ya Bachelor ya mechanical nimejua kwann umerudi kusomea Ufundi Fridgi nishajua tatizo lipo wapi.

[emoji3][emoji28][emoji28][emoji28]bro mafundi friji wako veta na magomeni tu Mimi Niko full competent on all HVAC systems sio ufundi tu kwa maana ya kudinda na spanner Bali nafanya disigning na mengne mengi afu kingine nkwambie usidharau mafundi ata kama ni fundi simu hawa ndo wanaongoza kwa kula BATA na maisha mazuri ukitoa watumishi wa umma wenye salary kubwa na wale walioko private sector’s afu kingine nikufundishe kila ID inatumika mahala pake mjomba HATA USALAMA wa TAIFA awezi kutumia ID yake anapoenda baadhi ya sehemu Fulani kama guest au eneo ambalo si lazima atambulike vile atakavyo ndivo hivo hivo kwenye izi saili za kazi usiende na kitambulisho chako cha ofisi Fulani kwenye usaili utakua umewapa options za kukuchanganua vizuri 1.baadhi ya sehemu watajua wewe tiyari una sehemu ya kujishikiza kwahyo ni bora wakampa mtu jobless 2.kukufwatilia uko ofisini kwako ni mtu wa aina gani mpka unakuja kuomba uku kingine ID sio nyumba kwamba aihami wala kupotea izi inshu zinapotea sasa utaenda kwenye interview na LOSS REPORT [emoji23] au utaenda na ID ya passport iliyo expired au LESENI expired JIFUNZE KUTAFAKARI BASI IT WETU WA 11-23
 
Una Bachelor Ya Mechanical Engineer Alafu huna ID hata Mmoja, Sasa Si bora uvichome Moto.... Unaitwa kazi za Bunge, Leo umetoka job Umepata sijui umeandika laki 2...

Sasa kazi moja ya laki 2, una uhakika kwa mwezi hukosi kazi 3 hadi 10... Sasa si bora utulie huko kuliko Kufata Mshahara wa TGSB... Unajua TGSB na makato makato ina rudi humo humo kwenye hela yako ya siku??

Maana wewe huna Per diem huna Safari, Safari uende wapi wakati mafridgi yapo humo humo.

Unajua mtu mpka anaitwa akafanye kazi Bunge hawezi lipwa elfu 39,000/=.

Mkuu ndio maana baada ya Bachelor ya mechanical nimejua kwann umerudi kusomea Ufundi Fridgi nishajua tatizo lipo wapi.

Mdogo angu we bado mtoto mi naomba uingie kwenye system kwanza ujue maisha yanaendaje[emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu ni walimu wa shule ya msingi ila ukiangalia mazaga wanayopiga nje ya ualimu utajiuliza uyu mtu ana fanya nini uku kwenye teaching[emoji28] example mimi kuna mtu namfahamu ana maduka 4 (nnayoyafahamu mimi) Mawili kariakoo moja Dodoma na mwanza na rotation ya bizness zake ni ya kutoka na kuingia yani apo Kuna route za China na kwingineko ila bado still ni mwalimu na si kusema ni wa muda mreeeeeeefu kiiivo kwamba anavuta mrundio mkubwaaaaa kama kile kimlima cha ofisi za PSPR kushoto [emoji28][emoji28]hapana ila anakomaa kuvuta hyo 600-700k (nahisi ) sasa wewe unajiuliza eti fundi kwakua unavuta 200k per one work usiende kutafuta 500k government [emoji28][emoji28][emoji28]acha utoto kuna mifumo huwekwa 200k itaingia na still hii 500k itaingia sema katika format ya (KULA na MWEZIO) hapo ndo utajua mtu ana surviving vipi na hawezi kuiba friji au AC mbinu ni ile ile (KULA NA mwenzio)[emoji28][emoji28][emoji28]kwanza habari ya wizi serikalini ni kosa kijinai na si maadili ya mtumishi bora(hii CODE muibebe kama ilivyo[emoji23])
 
Ww

Ww hujui kinachoendelea huko saiz, ajira hamna malumbano ni mengi kati ya taasisi na Psrs in short jamaa hawataki kupelekewa watu, wanataka kuajiri wenyewe waweke watu wao ss huwezi lazimisha kupeleka watu.Inshort saiz hamana kitu ndio maana unaona placement nyingi wanajazwa wampishi mafundi imeisha hiyo. Saiz hali ndio mbaya zaid
IT yupo semina naona wanarusha kwenye page yao ya twitter....anaokota maokoto(per diem ) huku akitabasamu
""Majobless bwana wawe wavumilivu wakati wakuvuna sasa ''semina"
 
Habari wakuu, ni siku nyingine Tena
Nimeamka asubuhi kitu Cha kwanza moja kwa moja web ya utumishi na hakuna jipya. Ngoja niende shamba kwanza.
 
Ww

Ww hujui kinachoendelea huko saiz, ajira hamna malumbano ni mengi kati ya taasisi na Psrs in short jamaa hawataki kupelekewa watu, wanataka kuajiri wenyewe waweke watu wao ss huwezi lazimisha kupeleka watu.Inshort saiz hamana kitu ndio maana unaona placement nyingi wanajazwa wampishi mafundi imeisha hiyo. Saiz hali ndio mbaya zaid
Kwaiyo na waziri Simbachawene naye limemshinda hili??!! seriously??
 
Kila nikikumbuka maagizo yaliyotolewa na Spika na kupokelewa kwa bashasha na naibu waziri siku ile bungeni, napata wasiwasi sana na kinachoendelea sasa kati ya Psrs na taasisi kuajiri zenyewe.
 
Back
Top Bottom