Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tunasema hawajatoa kwa sababu kada husika hakuna aliyeitwa hata mmoja utasemaje wametoa sasa
 
Ujue kwenye hilo swala la watu kuitwa interview thn asiitwe hata mmoja niliwahi kukaa na Akili zangu za Njaa...nikajisemea Hivi utumishi hawawezi kweli Fanya tu Advertisment ya kazi hewa ili wapige Mshindo??? Cz Budget ya usaili mmoja Ni mamilion ya Hela Mjue.... Cz kuandaa tu process na logistics plus per diem ni hela nyingi mno.. Ila ngoja Tuone
 
Wanatuona na sisi manyumbu Kama walivo wao
 
Huu mwaka wa madereva, unawaishia vizuri sana, dah pdf ya Leo mmh! Isiwe ndo yakufungia mwaka Tu, wapandishe na nyingine angalau inone none kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…