Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

SEMA HIZI TAASISI KUVUNJWA NA KUUNGANISWA NAFIKIRI KUNA ASILIMIA KIDOGO ITAATHIRI JOBLESS MAANA KUNA WATU AMBAO WALIKUWA HIZO TAASISI ITABIDI WAPELEKWE TAASISI NYENGINE ZENYE MAGAP.

MFANO: KUNA WATU WALIFANYA INTERVIEW SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA.... So itapelekea wale wasailiwa wasubirie kwanza taasisi nyengine.

Lakini pia wale ambao taasisi imevunjwa wanapelekwa kwa hiyo taasisi nyengine....Nyieee 😢😢
 
Hizi Tarehe Za sikukuu za Mwisho wa Mwaka, Christmas Next Week J.3. Nahisi IT kama sio j.5 basi alhamisi ataondoka kwenda liikizo ya holiday... Sasa hapo kwa hesabu za Kiwaki ...Si atakaa hadi New Year???

Oyaaa jobless Mwaka Mpya mwengine ,tuna sheherekea bila kazi Mbwa sisi 😢
 
kazi kwelikweli yaani watu wanalilia pdf nakati IT kaishakabizi funguo za ofisi.muda si mrefu mtaona no any placement currently. 🤣 🤣
 
Ni usenge sana aisee
Na kama utendaji serikalini ndio hivi ,no Wonder Madudu kila siku ,upuuzi mtupu
Hata wakimerge hizo taasisi ,naweza kuguarantee hamna changes zozote na result watakazopata sana sana itakuwa ni kutengeneza uozo mwingine na inefficiency katika mfumo wa utendaji wa serikali ,mashirika na taasisi.
Mfumo wa uwajibikaji zero
Mentality ya kishamba kabisa katika utendaji kazi .
Mfano ni humo psrs , Majitu hayawajibiki ,kwanini mambo yaende kama konokono na watu wapo wanalipwa pesa na posho ?
 
Mkuu ulisema kuanzia tarehe ngap mpk ngp??
[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…