Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
BADO KUNA MTU AKIPANGIWA HALMASHAURI ATAANZA KUJIULIZA AENDE AU ASIENDE??? 🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasbr PDF ya kufungia mwaka..zoa zoaBADO KUNA MTU AKIPANGIWA HALMASHAURI ATAANZA KUJIULIZA AENDE AU ASIENDE??? [emoji849]
Its okay, as long as it makes you feel good, furaha nayo ni ya muhimuujinga wa mtu ni starehe yake. na leo nasema kuna pdf inatoka ili uumie tena 😂 😂
changamka sasa kuna tangazo uko limetoka uko. 🤣 🤣Wenzangu mi nahisi labda tumefeli usaili,ujue majina yalitoka mengi sana mwaka huu na hadi leo bila bila!Tujipange kivingine na kuchangamkia matangazo yakitoka.Niko down
kweli tunaweza kua tunasubiri meli airport aiseeWenzangu mi nahisi labda tumefeli usaili,ujue majina yalitoka mengi sana mwaka huu na hadi leo bila bila!Tujipange kivingine na kuchangamkia matangazo yakitoka.Niko down
huyu itakua alikua anaongelea pdf la advertisement lilitokaPdf ya Nini? (A) Placement (B) call for interview? Watu tumevurugwa mwaka unakata😄😄😄
1 post 😂😂😂huyu itakua alikua anaongelea pdf la advertisement lilitoka
Aisee daaaà h😂😂Ni dka ya 60 hiyo ya mchezo, hakika mamb bado ni magumu sana kwa timu hii ya wansakieki.
hatari nyingine tena kule langoni mwa wansakieki, anakwenda kule yule ni "time is out stop writting", namna gani pale anapita vizuri kabisa hatari kuleee ana mwaga maji kuleee... oooh yeeeeeeeesssss.......... ni yule yule tena striker hatari kabsa wa kuitwa "matokeo ni baada ya week3" what a header! Kwako Alex kashasha.
Eeeh ilikuwa ni movement nzuri sana iliyoanzishwa na yule baki wa kulia "time is out" akimtoka vizuri yule baki wa kushoto "matokeo ni haki yetu"wa timu hii ya wansakieki asijue nin cha kufanya. What a stricking header kutoka kwa "matokeo ni baada ya week3"
Now psrs 3-wansakieki 0. Dakika ndo zinayoyoma hivo......
Naam naona yule ni "bora taasisi ziajiri zenyewe" anapasha kule anataka kuingia lakin kocha anamwambia tulia hapo Kwanza, wakat huo huo nahodha "psrs is for hustlers" wa timu hii ya wansakieki akiwatuliza wenzake na "IT karibu juice ya rimao" akiwa ameka achini akitafakari wamepigaje hapo.
Kwaiyo waliyepo database na ikaisha mda wake na huo mchakato bado unaendelea ndio itakuwa kwishney?WAKUU HABARI.
Mimi naona nikate Tamaa kwa niliyosikia Tetesi.... Utumishi wataita tu watu ila tunatakiwa tuwe watulivu,sana... Kwa sababu serikali inafanya process za yale mashirika yaliyovunywa kuhamisha wale watumishi katika taasisi nyengine... Ndio maana kuna kimya kikubwa hapa kati.
MFano ;- kuna taasisi A ilikuwa inahitaji watu, basi badara ya kupelekwa wewe ataenda yule aliyetoka taasisi ambayo imevunjwa kama ana sifa za kada husika. Mfano ; ww ni afisa hesabu na yy ni afisa hesabu.
so majina yatatoka either yawahi au yachelewe but sio kwa kiwango kile, na hii imesababishwa na hilo jambo.
so kazi ya sekretariet ya ajira sasa, ni ku mobilize kwanza wale watumishi thn watatu solve na sisi. Asanteni na kwa herini maana nitaenda offline kwa muda wa mwezi mmoja.
Nimeweka bundle takribani miezi 2 mtawalia hili la kuvunja taasisi litatucheleweshea placement kwa namna moja au mbili.
Laa haulla walaquwata.WAKUU HABARI.

MKUU HAPO MIMI NA WEWE NDIO HATUJUI.... Ila kwa hesabu za haraka haraka sasa hivi process inayofanyika ndio hiyo kuhakikisha wale watumishi wote wanapata vituo vipya vya kazi... Cz haiwezekani wale hawajapata alafu Eti waweke na wengine hicho kitu kiuhalisia kigumu...Kwaiyo waliyepo database na ikaisha mda wake na huo mchakato bado unaendelea ndio itakuwa kwishney?
Kwisha habari yaoKwaiyo waliyepo database na ikaisha mda wake na huo mchakato bado unaendelea ndio itakuwa kwishney?
Taasisi zenyewe ndiyo hizo zinazounganishwa na zingine kufutwa.Tunaziomba taasisi zianze kutangaza kazi basi na zenywe
huko kunaitwa kukandwa kidigitali.Kwaiyo waliyepo database na ikaisha mda wake na huo mchakato bado unaendelea ndio itakuwa kwis kunaitwa