WAKUU HABARI.
Mimi naona nikate Tamaa kwa niliyosikia Tetesi.... Utumishi wataita tu watu ila tunatakiwa tuwe watulivu,sana... Kwa sababu serikali inafanya process za yale mashirika yaliyovunywa kuhamisha wale watumishi katika taasisi nyengine... Ndio maana kuna kimya kikubwa hapa kati.
MFano ;- kuna taasisi A ilikuwa inahitaji watu, basi badara ya kupelekwa wewe ataenda yule aliyetoka taasisi ambayo imevunjwa kama ana sifa za kada husika. Mfano ; ww ni afisa hesabu na yy ni afisa hesabu.
so majina yatatoka either yawahi au yachelewe but sio kwa kiwango kile, na hii imesababishwa na hilo jambo.
so kazi ya sekretariet ya ajira sasa, ni ku mobilize kwanza wale watumishi thn watatu solve na sisi. Asanteni na kwa herini maana nitaenda offline kwa muda wa mwezi mmoja.
Nimeweka bundle takribani miezi 2 mtawalia hili la kuvunja taasisi litatucheleweshea placement kwa namna moja au mbili.