Macrochogo
Senior Member
- Dec 5, 2023
- 128
- 101
Ulisema inajengwa ofisi nyingine hapo kali sana.
Vipi imeisha na watu wameshahamia.
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisema inajengwa ofisi nyingine hapo kali sana.
sisi hata hiyo hiyo fresh tuUlisema inajengwa ofisi nyingine hapo kali sana.
Vipi imeisha na watu wameshahamia.
Asante.
mbona ofisi kali ivo watu wapo tayali kufanyia kazi hata chooni hali mbaya..
mpaka madirisha ya vioo unyama kabisambona ofisi kali ivo watu wapo tayali kufanyia kazi hata chooni hali mbaya..
Jidanganye ,ogopaleo kuna pdf litatoka baadae
😂 😂 😂Jidanganye ,ogopa
kazi kwelikweli yaani watu wanalilia pdf nakati IT kaishakabizi funguo za ofisi.muda si mrefu mtaona no any placement currently. 🤣 🤣Hizi Tarehe Za sikukuu za Mwisho wa Mwaka, Christmas Next Week J.3. Nahisi IT kama sio j.5 basi alhamisi ataondoka kwenda liikizo ya holiday... Sasa hapo kwa hesabu za Kiwaki ...Si atakaa hadi New Year???
Oyaaa jobless Mwaka Mpya mwengine ,tuna sheherekea bila kazi Mbwa sisi 😢
hayo ma interview ya utumishi kwenda kuyafanya ni kupoteza pesa tu mnawatajilisha watu wa gesti na wale boda wa pale udom..kazi kwelikweli yaani watu wanalilia pdf nakati IT kaishakabizi funguo za ofisi.muda si mrefu mtaona no any placement currently. 🤣 🤣
kwa kwelihayo ma interview ya utumishi kwenda kuyafanya ni kupoteza pesa tu mnawatajilisha watu wa gesti na wale boda wa pale udom..
Dah hii mbona bonge moja la ofisi mkuu, tena kuna adi vioo na rangi kabisa na tiles Chini nikibahatika sehemu yenye ofisi nzuri kama iyo ata masuala ya uhamisho sitakumbuka🤣🤣🤣 kikubwa ulambe asali tu
Tupunguze ukali wa manenowanacheza na akili za watu mamamae zao utumishi
Wilaya nyingine pasua kichwa maokoto sifuri
Mkuu ulisema kuanzia tarehe ngap mpk ngp??Hizi Tarehe Za sikukuu za Mwisho wa Mwaka, Christmas Next Week J.3. Nahisi IT kama sio j.5 basi alhamisi ataondoka kwenda liikizo ya holiday... Sasa hapo kwa hesabu za Kiwaki ...Si atakaa hadi New Year???
Oyaaa jobless Mwaka Mpya mwengine ,tuna sheherekea bila kazi Mbwa sisi [emoji22]
11 mpaka 23 mapdf kibaoMkuu ulisema kuanzia tarehe ngap mpk ngp??
[emoji24][emoji24]