Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ma legend wa uzi huu tumepotea au tumeshasahaulishwa na hizi asali tulizolamba??

Mkuu mfwende sawadogo upo wapi siku hizi ndugu yangu ulikuwa mchangiaji mzuri umepotea mazima, na wengine wengi tu.

Au ni zama zilishapita, kizazi kipya kimekuja na hasira za kutukana ila silaumu najua uchungu wa kuwa jobless inakera sana yaani... Ila ni swala la mda tu kila kitu kitaenda sawa.
 
chief naingiaga kwa manati humu, coz nimebanwa na majukumu.

nimeona vijana wakikatishwa tamaa, wengine wakivunjika moyo.nawashauri ni suala la muda tu wengi tutalamba asali .

mama samia ana nia njema na vijana hawa watu wa ukanda wa pwani kwenye ajira wana waves nzuri sana . na katika economics kwa kila unacho unacho invest unapaswa kuwa optimistic .
 
Kakaaa,yani we Acha tu wapo wanaotukana kimya kimya uku,ukiingia kwnye web kuna wa2 wanasonya adi shetan anashangaa[emoji23][emoji23],but neno subira ni gumu mno inataka imani kweli kwl ukilijua ilo umeyashinda yote,ukiwa nalo hata kujicontrol ni rahis maana wote ss n binadamu 2na mioyo ya kuumia,tuna nyongo mweee..but kuna mwandishi mmoja wa kitabu cha war and peace kuna maneno mazuri anasema hivi "the two most powerful warriors are patiance and time" ss hii alizungumzia kma tactics au mbinu za kummuattack adui wakati uko vitani...but these two warriors can be applied in our situations,kuna wakati unatakiwa uwe na subira,mambo yanahitaji muda,so kma jambo linahitaji usubiri kwa muda basi unahitajika usubir hivyo hakuna namna utafanya...wakati sahihi ukifika basi utafanikiwa tu,just imagine umehudhuria interviews nying but hujapita lkn ypo aliyehudhuria just 1 interview na akapita na ypo anakula zke asali asaivi...so tactics ni mbili tu hakuna kingine subira na Acha muda uongeee.
 
sasa huo muda utafika lini jamani wengine umri unaelekea kwenye kustaafu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ